Barua ya MwanaJF kwa mkewe....

Acha majungu
Mbona barua yako wewe umemuandikia Amyner maana toka utoke mwanza unalazwa mzungu wa nne baada ya Amyner kupata habari zako ulivyo kiwembe kwa wake za watu
Hahahahaaaa mzee wa majungu umeibuka? Lol
Haya hebu nambie mimi na wewe nani kipanga? Wewe ulikuwa na Yummy ukaporwa na Asprin ukawa na Dena Amsi then ukampitia King'asti na sasa unamvizia sweetlady lol Mr Rocky umezidi ila nashukuru ulipomtongoza Amyner hakunificha akanambia ukweli kuwa kakulamba kibuti cha mbafu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…