Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

Malcom x, Waarabu walimfanya kama chambo ya kisiasa kuwa win black Americans ndyo maana wakamfanyia ukarimu wote huo. Ukweli uliobainika baada ya mambo yote kuwa mtandaoni ni kuwa Quran inawaweka Watu weusi na wanawake kuwa Watumwa na zaidi kuwa watu weusi sehemu yao ni motoni sawa na Shetani. Cha zaidi scholars wa Kiislamu walikomelea msumari kwa kuwataja kabisa watu weusi-Zenjiba kuwa ni watumwa
 
Tunajifunza nn mkuu????? Kama waafrika wabantu??????? Tuache imani za babu zetu na majina ya kibantu na tufuate utamaduni wa kiarabu???????
 
Mkuu ebu fafanua
 
Binafsi sionagi sababu ya kuyatetea haya mambo ya dini na Mungu , kama Mungu ana nguvu mimi naona watu wamwache ajipambanie mwenyewe tu .
 
Hip pop community imemkataa malcom x sababu alikua anatugawa waafrika kwa msingi ya kidini yeye na Elijah Muhammad na Martin Luther King jr.
 
Nelson some hiyo Hadith. Kwamba Allah alipiga bega la kushoto wakatoka wana- white ambao wataenda mbinguni; bega la kushoto, wana- weusi ambao wataenda motoni
Mkuu kwahiyo huo ndio mtazamo wa waarabu????
 
Ngoja nikutoe ushamba kidogo
1. ukienda Mecca sio majority Waarabu, ni sehemu ambayo mamilioni ya watu wanatembelea, na Malcom alikutana na Race zote, including wazungu na wengineo, Ameshazoea Treatment ya Wazungu America akifika kule anakutana na watu wa Albania, Bosnia, ambao ni Blonde na Blue Eyes ila wanajishusha mbele ya Mwenyez Mungu.

2. Hio Serikali ya Saudia ni mshirika Mzuri tu wa Marekani na nchi za Magharibi wanapata Faida gani kuisaliti Usa over Malcom? Na Malcom amezungumzia Uisilamu na sio Serikali ya Saudia

3. Hayo mengine ya Quran na watu weusi umeyaongea wewe hayapo, Uisilamu ndio dini pekee ambayo imeongelea Direct suala la ubaguzi wa rangi.

- Hotuba ya mtume ya kuaga kabla ya kufariki Wosia wake mkubwa aliowaachia waisilamu ni kutobaguana, anasema

"All mankind is from Adam and Eve, an Arab has no superiority over a non-Arab nor a non-Arab has any superiority over an Arab; also a White has no superiority over a Black nor a Black has any superiority over a White except by piety and good action. Learn that every Muslim is a brother to every Muslim and that the Muslims constitute one brotherhood. Nothing shall be legitimate to a Muslim which belongs to a fellow Muslim unless it was given freely and willingly."

Hapo Mtume wetu (S. A. W) anaelezea Mwarabu sio bora kwa asiekuwa mwarabu na asiekua mwarabu sio bora kwa mwarabu, mtu mweupe sio bora kwa mtu mweusi na mtu mweusi sio bora kwa mweupe, binadamu wote ni sawa na tumetoka kwa Adam na Hawa.

Si tu Hapo, Kwenye Quran kuna Sura specific inaitwa Luqman ambayo Mwenyez Mungu (s.w) anamsifia huyo mtu kwa Busara na Hekima zake, ni watu wachache sana kwenye Quran waliotajwa ambao sio mitume, huyu mmoja wapo na Makazi yake ilikua ni Easf Africa pengine Ethiopia ya sasa.

Hivyo hayo uliyosema sio kweli otherwise weka aya ama kitabu cha huyo Ulamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…