Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Basil Pesambili Mramba...
 
Hata Prof Simon Mbilinyi alipita huko na akapotea.

Mbilinyi hakufungwa japo alijiuzulu kwa Kashfa ya Ufisadi kwny Biashara ya Makampuni ya Uvuaji wa Samaki wa Ziwa Victoria ilidaiwa yeye alikuwa 100 Million na Mkapa alikula 500 Million na tuhuma hizo alitoa Augustine Lyatonga Mrema 1996 kwny Kampeni za Ubunge Temeke akiwa Mgombea!
 
Kumbe fitna ameanza kitambo

Jk ni Mwiba mbaya sana kwny Siasa za Fitna!

Kuna Kigogo mmoja aliwahi kuniambia Jk alikuwa 'Nyoka' I. a Usalama wa Taifa Tangu akiwa Shuleni!

Chuoni alikuwa Makamu wa Rais wa Serikal ya Wanafunzi kuwa scan wenzie

Baada ya ASP na TANU kuungana wanasema alipelekwa Znz kuwa study wanaopinga Muungano Pamoja na Muunganiko wa ASP na TANU kwa kuwa kuna waliopinga Kuua Chama chao cha Afro shiraz( ilisemwa anaenda ku Harmonise TANU na ASP)

Alipoingia Jeshini akafanywa Mwalimu wa Siasa Jeshini japo hakuwa amesomea Siasa wala hakuwa Gwiji wa Masuala ya Kijeshi

Na Kwny Siasa alitumia weledi WA Jeshi, Michezo, Umjini, ujanja binafsi na ukwere kufanikisha Siasa zake
 
Marehemu na JK wote walikuwa wanachama wa BALUKTA na malengo ya kikundi hicho yalikuwa kuwania nafasi za juu kabisa za kisiasa "Abuja Declaration" Sasa tunajua nani alimuwahi mwenzake. RIP mzee Malima. Lakini tusisahau kuwa Malima junior kainuliwa na JK ili "KARMA" isimwandame.
 
SMART!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…