Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete | Page 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FAKE NEWS, May 19, 2017.

 1. FAKE NEWS

  FAKE NEWS Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Feb 16, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 25
  Soma kwa makini hii barua kisha tuambie umejifunza nini? Na kwa nini zamani mawaziri walikuwa wanajibika kuliko siku hizi?
  418f810e-db0d-4fd7-ae51-0938f5f2d477.jpg
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #161
  May 20, 2017
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 13,350
  Likes Received: 1,106
  Trophy Points: 280
  Alimbeba asiyebebeka
   
 3. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #162
  May 20, 2017
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,954
  Likes Received: 3,684
  Trophy Points: 280
  JK aliwashinda wapinzani wake wengi sababu kwanza alipita jeshini na huko alitengeneza network kubwa kina (Makamba,Chiligati,Nnauye,Kinana ) na baadae alivyorudi kwenye chama akatengeneza network kubwa (Singida,Zanzibat,Lindi,DSM)akatengeneza network TISS na JWTZ ilimsaidia sana na pia JK alikuwa ana sifa ya ucheshi tofauti na wanasiasa wengi hii iliwafanya hata wapinzani wake kutomwelewa,wakajisahau.Licha ya kugombana na kina Mwandosya,Sita,Malima,Mangula lakini aliweza kuwatuliza utadhani hakuwa na ugomvi nao huko nyuma.Uhusiano wake na wapinzani (Zitto,Maalim Seif,Lipumba,Mrema,Mbatia) ilikuwa ngumu sana kuelewa msimamo wake .Mahali ambapo JK hajaeleweka ni kwenye katiba mpya,je ni kweli alikuwa anataka katiba mpya au alitupiga
   
 4. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #163
  May 20, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,039
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Hv kile chama alichotaka kuhamia ENI-ARA-EI bado kipo? kwa siasa za kwetu sijui pangekuaje? ila kama wamemfix babu mamvi 2015
   
 5. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #164
  May 20, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,039
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  mi nilimuelewa pale alipoanzisha UDOM kwa kutaifisha jengo la chama Tawala, leo hii vijana wanapiga kitabu pale. kwenye katiba labda bashite aje atuelezee kwa undani zaid
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #165
  May 20, 2017
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,176
  Likes Received: 2,030
  Trophy Points: 280
  Ni wakati gani wa utawala Mtukufu Rais lilitumika?
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #166
  May 20, 2017
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,176
  Likes Received: 2,030
  Trophy Points: 280
  Ndiyo hapo napojiuliza. Kabla ya Kighoma kuna jamaa yangu alitumia namba kwenye mtihani. Leo tunaambiwa Kighoma Malima ndiye aliyeanzisha namba!!
   
 8. FAKE NEWS

  FAKE NEWS Member

  #167
  May 20, 2017
  Joined: Feb 16, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 25
  malima alikufaje london?
  anza hapo
   
 9. Kadhi Mkuu 1

  Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member

  #168
  May 20, 2017
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 4,367
  Likes Received: 2,485
  Trophy Points: 280
  Wakati Tanzania ilienda kuomba msaada mawazizi wa nchi wahisani wakashangaa inakuwaje nchi inaomba msaada amabao waziri wao mmoja ana kiasi kingi sana cha fedha kuliko hicho tunachoomba? Sasa wakati Prof Kaenda London kuchukua bil 3, kati ya zile nyingi ili aje ajenge NRA (ilikuwa na mwelekeo wa kidini) akakuta account iko frozeni aka RIP. (Ni story tu).
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #169
  May 20, 2017
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,947
  Likes Received: 3,354
  Trophy Points: 280
  ..siyo mjanja kiasi hicho.

  ..mengi ameyafanikisha kwasababu vyombo vya DOLA viko nyuma yake.

  ..lingine ni kwasababu kama Raisi ana vyeo na nafasi nyingi mno anaweza kuvizigawa kwa yeyote yule ambaye analeta kilomolomo na akatulia.

  ..wapinzani ndiyo wagumu sana kuwaongoza. Hakuna aliyemzidi mwenzake na ndiyo maana ukasikia Juma Duni akidai ndani ya CDM kila mtu ni "kambale."
   
 11. FAKE NEWS

  FAKE NEWS Member

  #170
  May 20, 2017
  Joined: Feb 16, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 25
  nani alimuua malima London?
   
 12. TL. Marandu

  TL. Marandu JF-Expert Member

  #171
  May 20, 2017
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 3,290
  Likes Received: 4,796
  Trophy Points: 280
  Inawezekana Jamaa alikuwa Bingwa wa Kuchoma Utambi Kwani huku nilishasoma Mkuu wa Chuo Cha Monduli enzi Zile Gen Sayore Nusu angemfyatua kwa Kumchomea Utambi kwa Nyerere, Ila Nyerere akamaliza fitina najaribu kuutafuta huo uzi hapa!

  Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa msukosuko!
   
 13. darcity

  darcity JF-Expert Member

  #172
  May 20, 2017
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 3,386
  Likes Received: 4,028
  Trophy Points: 280
  Historia maridhawa hii ngoja tujifunze kilichofanyika
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #173
  May 20, 2017
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,312
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kikwete tabia zake za kuwaza fitna tu ndizo zimetuletea kiongozi wa ajabu kabisa!!
   
 15. swahiba92

  swahiba92 JF-Expert Member

  #174
  May 20, 2017
  Joined: Nov 12, 2016
  Messages: 1,222
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  Nikumbusheni 5 Bora hatimaye 3 Bora ya NEC 1995
   
 16. G

  Gryulka JF-Expert Member

  #175
  May 20, 2017
  Joined: Jan 29, 2017
  Messages: 525
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 80
  Akaja akamuingiza Adam K. Malima ktk serikali yake ili kuipooza ya marehemu Kighoma Malima.

  Naye mtoto, kwa tamaa ya madaraka, akakubali KAFARA LA BABA YAKE MZAZI.
   
 17. G

  Gryulka JF-Expert Member

  #176
  May 20, 2017
  Joined: Jan 29, 2017
  Messages: 525
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 80
  Mkuu unapokuja Na direct accusation namna hiyo bila shaka utakuwa na undoubted evidence.

  Naomba tuthibitishie hiyo freeze ya BILLIONS TATU ZA LONDON.
   
 18. ECONOMY

  ECONOMY JF-Expert Member

  #177
  May 20, 2017
  Joined: Apr 10, 2017
  Messages: 361
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Ndio jamaa alikuwa waziri wa elimu
   
 19. shushushu VIP

  shushushu VIP JF-Expert Member

  #178
  May 20, 2017
  Joined: Jul 24, 2016
  Messages: 4,254
  Likes Received: 3,468
  Trophy Points: 280
  Daaah zaman sana barua
   
 20. ECONOMY

  ECONOMY JF-Expert Member

  #179
  May 20, 2017
  Joined: Apr 10, 2017
  Messages: 361
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Huyu wa sasa je amekataaa?
   
 21. Ngamanya Kitangalala

  Ngamanya Kitangalala Verified User

  #180
  May 20, 2017
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 902
  Trophy Points: 180
  Kuna marehemu Steven Kibona pia
   
Loading...