Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Yani we Mentor wewe. Yani mi na wewe tunahitaji kuwa na serıous talks.
BTW huyo dokta kama mkeo angekuwa Heaven on earth sidhani kama angetoka salama. LOL
Siku zote nlijua mwallu ni sista wa Paroko.... kumbe kijana hatare sana weye
kwani leo tarehe ngapi mwezi wa ngapi? na barua imeandikwa tarehe ngapi mwezi wa ngapi?
future possible tense iyo
haki siamini kama lazymate umeisoma yote..si uni samalaizie na mimi
Eish......
Mleta uzi uache tabia za KDF wa westgate ...kwa ufupi story ni kutoka kwenye wimbo wa Bahati Bukuku ...
Hahah hukunipata wewe. İnfact nilikuwa najua unajua. Ni rahisi sana kujua karne hii. İsitoshe sikuwa na sababu ya kuficha.
Take your AUDİ leave me and pussy alone. Life is too short. Kwanini nipoteze hela kununua fuel?
Khaa!
Ticha naona story ndefu sana na sijamalizia kuisoma! Ila nahisi ni kama ule wimbo wa Bahati Bukuku- Dunia haina huruma!
watu8 ulipotelea wapi kaka!??Kwa mbaaaali hii tamthiliya inataka kufanana na kisa cha kilichopata simuliwa na bahati Bukuku katika moja ya nyimbo zake...
Wimbo wa dunia haina huruma wa Bahati Bukuku naona kama ndiyo samari yake hapa!
watu8 ulipotelea wapi kaka!??
It is but not the conclusion I believe...!
infact the original title to this story was: A LETTER TO MY WIFE...A COMEBACK AT BAHATI BUKUKU'S 'DUNIA HAINA HURUMA'
eti Habby anakusubiria!!!!!!!!!
Na mie namsaka mke wangu, sijui nimtumie Instagram
Ahahah ama kwa hakika babu Asprin wafanana sana na Dr. Chrispin wa hadithi yangu.
Jitaidi umalizie Mashaxizo...it's the same flow with a different conclusion!
watu8 ulipotelea wapi kaka!??
It is but not the conclusion I believe...!
infact the original title to this story was: A LETTER TO MY WIFE...A COMEBACK AT BAHATI BUKUKU'S 'DUNIA HAINA HURUMA'
Ni kweli wa kwetu mwanamke amebeba jukumu kubwa sana hasa kwenye haya maisha ya ndoa. Lawama na masimango toka upande wa pili ni mengi wakati mwingine anakua kapitia yote haya lkn wa upande ule hupenda kusahau yote pindi huyu mama anapokosea kidogo tu. Great is his mercy towards women and may the power of his love flow to everyone of us, blessed is His Name forever and ever Amen.Ablessed umenena kweli
kwa hali ya kawaida tu hakuna mwanaume anaeweza kumsamehe mke wake kwa jambo la aibu kama hilo,na hata kama anampenda kiasi gani,bado atafikiria watu wa nje watakavomchukulia incase akisamehe,watamuona ni mwanaume wa aina gani? heshima yake kwa jamii inayomzunguka na nduguze itakuwaje? lakini sisi wanawake huwa hatujali,Mungu katupa mioyo yenye kuhimili mikiki mikiki kutoka upande wa pili
Mwambie nikimkamataaaaa!!!!!