Barua Kwa Jakaya Kikwete

Barua Kwa Jakaya Kikwete

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Leo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......

Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
 
Kumbe Aunt Ezekiel ndiyo ileeeeee tayari kitu.....mtoto ataitwa Lion (jina la mnyama) manake baba yake sii ni waziri wa maliasili basi lazima tumpe jina la kimaliasili....
 
Waziri ni hatari kwa kulenga, kitu mara moja tu kimeshika.....wale wanawake tasa wamtafute mheshimiwa waziri
 
Baba while you are away tunaomba umwachishe waziri mkuu Kazi mara moja.......Baba while you are away wezi wote wa ESCROW wakamate na wawekwe ndani...
 
Hii barua akiiona profesa lazima ajitoneshe wallah!!
Hahahahaha ni kweli mkuu, lazima itamuongezea pressure.....ocampo kasahau moja.........Baba while you are away, familia yako imetajwa kwenye sakata la ESCROW
 
Mkuu ocampo four ninaruhusiwa kutoa copy hii barua ili nimfikishie Joka la mdimu maana umekiuka protocol ilipaswa umcopy maana yupo hapa Jf na ID fake.
 
Last edited by a moderator:
Leo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......

Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
Umeongea kama stori ila ujumbe wako una meseji kubwa sana mkuu ocampo
 
Mkuu ocampo four ninaruhusiwa kutoa copy hii barua ili nimfikishie Joka la mdimu maana umekiuka protocol ilipaswa umcopy maana yupo hapa Jf na ID fake.
Hhahahahahha kwaiyo mkulu yupo humu..........au ndiyo wanatumia ile ya Chabruma na Lizaboni
 
yupo humu JF ujumbe wako umefika hata asiposoma Wassira atampelekea ujumbe
 
Leo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......

Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
ni kweli wale walioenda kwenda utalii marekani utalii wao umezaa matunda mema hongera muheshimiwa wa utalii
 
Kumbe Aunt Ezekiel ndiyo ileeeeee tayari kitu.....mtoto ataitwa Lion (jina la mnyama) manake baba yake sii ni waziri wa maliasili basi lazima tumpe jina la kimaliasili....
Nyalandu hafai katika taifa hili, hana maadili kabisa.......na ile issue yake ya Charles Dunken hivi ni kweli? anatoa 07133333
 
Since he left the shilling has depreciated from 1700 to 1745. I hope he acts on it once he comes back.
 
Back
Top Bottom