Barua hii shemeji kagoma kuipitisha

Barua hii shemeji kagoma kuipitisha

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Barua kutoka kwa kaka'angu,wakwe wameipitisha lakin kwanini shemeji.....!!
 

Attachments

  • 1402644504735.jpg
    1402644504735.jpg
    32.9 KB · Views: 951
Duuuuuuuuuuuh!!! yaani haya mashindano ya mwaka huu ni noma aiseee hapa ni full kuviziana baba mwenye nyumba anatoka home kwenda kucheck game huku nyuma watu wanahamia....
 
Hii kali aisee kuna haadi nyingi sasa huu ndo mda wake kukamilishwa tutegemee watoto kuzaliwa wakaitwa Brazuka
 
We hujui shemeji yako ni mshikaji wa siku nyingi wa mkeo? Amezuia ili apate sifa kwa mkeo aonekane anajua mumtetea. Hata hao wakweo wanajua kwamba shemejio ana mchezo mbaya na mkeo siku nyingi na balozi amewakalisha sana hawasikii. Kuna kipindi mjomba wao aliwakoromea sana walionyesha nia ya kuoana ila mkeo alikukubali ili uwe escape goat baada ya ushauriano wa hao wakware zako. Walipanga waondoke kwenda Brazil lakini wakaona utawawekea kiwingu maana wapambe wako wanawafuatilia sana. Pole, weka hiyo barua kule Tiamond Trust Bank utaitumia siku moja kwa tija.
 
Hii kali aisee kuna haadi nyingi sasa huu ndo mda wake kukamilishwa tutegemee watoto kuzaliwa wakaitwa Brazuka

Kudanganya kuna ujuzi wake pia...inapaswa kuwa na idea kubwa kumzidi unayetaka kumdanganya kwenye jambo unalotaka kumdanganyia! Unarudi nyumbani mnyongeeeeeee....ukiulizwa kulikoni unaanza kujibaraguza....oooh Arsenal inazidi kunitia unyonge,....waif anauliza kwani imekufanyaje....kwa sauti iliyofifia...Si wamepoteza mechi ya ufunguzi dhidi ya wenyeji Brazili? Fikiria hapo kama mke mwenyewe ni hawa wa kidigital
 
Hii kali aisee kuna haadi nyingi sasa huu ndo mda wake kukamilishwa tutegemee watoto kuzaliwa wakaitwa Brazuka
Unashangaa unarudi home unamkuta mkeo amechoka vibaya unamuuliza vipi wife mbona hivo anakujibu ooooooh baby nilikua naota ndoto nakamuliwa kumbe jamaa kahama muda si mrefu kama nusu saa nyuma...mwaka huu ni mwendo wa michepuo babake............
 
imeshakuja barua bado simu zigonge hewani bila mapokezi yoyote
 
Back
Top Bottom