Barua fupi kwa ndugu Maxence Melo huko katika kuta za magereza (sehemu 1)

Maxience melo aachiliwe bila masharti yeyote. Huu ukandamizaji haukubaliki haya mambo tuwaachie Rwanda na Congo
 
Kwamba malaika wanazima mitandao na Mungu wao kakaa kimya tu akidhani haachi trace,,au alama zake hatuzioni..Nadhani angepaswa ajiulize hii ni miaka gani?? iliobeba watu wa aina gani?? Wenye mtazamo upi?? Na kwa nini atamani Mwenyezi azime mitandao then akaizima yeye??
Sio Mungu wa kuanza na herufi kubwa, ni yule wa herufi ndogo
 
Hii ni hatua tu unayoipitia kwa ajili ya kukuweka imara na mafanikio zaidi.
 
Ndugu Maxence,
Salaam,

Pole na hongera kwa kipindi hiki unachopitia, ni kipindi kigumu lakini ni kipindi cha kujenga ujasiri na kukokomaza kifikra na msimamo.

Ndugu Maxcence wakati wewe umelala ktk kuta nene na ndefu za magereza, kwa "kosa" la kuweka jukwaa la kutoa maoni, mawazo na habari kwa matakwa ya ibara ya 18(1-1V) ya katibu huku ,kuna Wenzako wanakula raha.

kuna wezi wa ESCROW wapo wamelala na wake zao, wezi wa IPTL wamelala na mahawara zao, waliotupiga pesa ya radar wamelala na vimada wao, huku wewe uliyeweka jukwaa la kufichua uovu huo ukiwa nyuma ya milango ya chuma na kuta nene za magereza.

Wengi tulitarajia na tulijua kuwa wale malaika wa kufungia mitandao ya kijamii wataangukia Jamiiforums.

Jitahidi Kuwa mvumilivu wakati huu ambapo "malaika" wanakushikilia huku "mungu" wao akiwa kimya kama hajui kinachoendelea huku ikifahamika malaika wametumwa na mungu.

Ndugu Mello, tafadhali upatapo barua yangu nakuomba tulia utafakari na utambua unapigana vita muhimu sana tena muhimu kuliko hata maisha na roho yako.

Unalinda uhuru wa kutoa mawazo, maoni na kupashana habari, hivyo si suala dogo, kuwa mvumilivu, kuwa mzalendo, unaipigania Tanzania, Tanzania ni muhimu kuliko roho yako. hata hao mawakala wakikuua usijali, damu yako itakuwa imetumika kama wino wa kuandikia maneno mawili, UHURU na UKOMBOZI.

Hakika unaumia na unateseka sana kwa unayopitia, usife moyo, ukifa moyo tutaumia wengi, ni bora uvumilie upweke wako na mateso yako huko gerezani.

Ndugu yangu Maxcence tafadhali pokea pole, shukrani na pongezi kutoka kwangu.

Jisikie uko nasi hapo ulipo!

salaam!

Shukrani Ngonyani
Lilongwe.
Mkuu umesahau wale waliokula pesa ya tetemeko kagera nao wanalala miguu juu
 
a362754e626e545d873e2929235602e8.jpg
 
Anaandika Dr.Semeni Nyerere (MD).!

Nimemuona Max Melo;-

Max wa Jamii Forum akipandishwa Kisutu, nimemuona, Amekonda kwa siku 1 tu, Alikuwa anajaribu kulazimisha tabasamu mbele ya kamera ila liligoma, Malengelenge ya chozi la kiume yalimbubujika kama ulimtizama kwa makini, huku akipiga hatua kumfuata kamanda kuelekea kwa Pilato.

Alijiinamia na kuonekana mwenye kukata tamaa, hana raha utadhani Mhamiaji haramu si Mtanzania, Utadhani hana familia.

Kumbe ni maskini fulani, aliyesoma Uhandisi huenda akakosa Ajira au kukosekana kwa motisha akaamua kuwa mbunifu kwa kuanzisha jukwaa la mawazo huru, Akawakutanisha watanzania kutoa mawazo yao kwa usiri mzito huku yeye akijipatia vijisenti vichache kupitia matangazo,

Jukwaa la Melo lilidumu tangu kipindi cha Rais wetu Mkapa, Likadumu kwa Kikwete kabla ya kugeuka ghafla na kuwa tishio kwa maendeleo ya Taifa letu awamu hii.

Melo Amekonda! Melo anaumia, Melo analia, Kafurukuta kusaka dhamana japo atoke akaione familia, atoke akajipange kujibu mashtaka haikuzaa matunda, Melo yuko Keko.

Nikakumbuka Melo hajaua, Melo hajatukana, Hivyo basi kumbe inaweza kuwa mimi au wewe au yule pia.

Je tuwe kimya katika Tanzania mpya ya Ukimya?, Tumia Dk 5 kumuombea Melo. Muoombee tu, Omba tu!!

Omba! Omba! Omba sana. Omba kwa ajili ya Maxence. Ombea wote wanaoonewa kwa kwa ajili ya haki. Omba kwa ajili ya Tanzania.!
Hii imenitoa machozi. Mungu simama katika hili.
 
Ndugu Maxence,
Salaam,

Pole na hongera kwa kipindi hiki unachopitia, ni kipindi kigumu lakini ni kipindi cha kujenga ujasiri na kukokomaza kifikra na msimamo.

Ndugu Maxcence wakati wewe umelala ktk kuta nene na ndefu za magereza, kwa "kosa" la kuweka jukwaa la kutoa maoni, mawazo na habari kwa matakwa ya ibara ya 18(1-1V) ya katibu huku ,kuna Wenzako wanakula raha.

kuna wezi wa ESCROW wapo wamelala na wake zao, wezi wa IPTL wamelala na mahawara zao, waliotupiga pesa ya radar wamelala na vimada wao, huku wewe uliyeweka jukwaa la kufichua uovu huo ukiwa nyuma ya milango ya chuma na kuta nene za magereza.

Wengi tulitarajia na tulijua kuwa wale malaika wa kufungia mitandao ya kijamii wataangukia Jamiiforums.

Jitahidi Kuwa mvumilivu wakati huu ambapo "malaika" wanakushikilia huku "mungu" wao akiwa kimya kama hajui kinachoendelea huku ikifahamika malaika wametumwa na mungu.

Ndugu Mello, tafadhali upatapo barua yangu nakuomba tulia utafakari na utambua unapigana vita muhimu sana tena muhimu kuliko hata maisha na roho yako.

Unalinda uhuru wa kutoa mawazo, maoni na kupashana habari, hivyo si suala dogo, kuwa mvumilivu, kuwa mzalendo, unaipigania Tanzania, Tanzania ni muhimu kuliko roho yako. hata hao mawakala wakikuua usijali, damu yako itakuwa imetumika kama wino wa kuandikia maneno mawili, UHURU na UKOMBOZI.

Hakika unaumia na unateseka sana kwa unayopitia, usife moyo, ukifa moyo tutaumia wengi, ni bora uvumilie upweke wako na mateso yako huko gerezani.

Ndugu yangu Maxcence tafadhali pokea pole, shukrani na pongezi kutoka kwangu.

Jisikie uko nasi hapo ulipo!

salaam!

Shukrani Ngonyani
Lilongwe.
Mwenye PhD aliyenunua mabehewa mabovu yupo nyumbani katulia hata wale walionunua kivuko chakavu wapo pia wale waliotumia JF kwenye kampeni wakajipatia ubunge na pesa roho zinawauma lakini wanaogopa kupigania JF wasije wakatumbuliwa jipu.
 
Ukiisoma hati ya mashitaka utaona kuwa huyu bwana alikataa hata kushirikiana na polisi, tafusiri yake anadharau kwa vyombo vya dola. Sasa kama alikuwa hajui kuwa ipo serikali basi ni wakati wake kulijua hilo, ni nini hasa alikuwa anakificha m[paka akawa anawadindia polisi wasitekeleze majukumu yao ambao wapo kisheria.
 
Ndugu Maxence,
Salaam,

Pole na hongera kwa kipindi hiki unachopitia, ni kipindi kigumu lakini ni kipindi cha kujenga ujasiri na kukokomaza kifikra na msimamo.

Ndugu Maxcence wakati wewe umelala ktk kuta nene na ndefu za magereza, kwa "kosa" la kuweka jukwaa la kutoa maoni, mawazo na habari kwa matakwa ya ibara ya 18(1-1V) ya katibu huku ,kuna Wenzako wanakula raha.

kuna wezi wa ESCROW wapo wamelala na wake zao, wezi wa IPTL wamelala na mahawara zao, waliotupiga pesa ya radar wamelala na vimada wao, huku wewe uliyeweka jukwaa la kufichua uovu huo ukiwa nyuma ya milango ya chuma na kuta nene za magereza.

Wengi tulitarajia na tulijua kuwa wale malaika wa kufungia mitandao ya kijamii wataangukia Jamiiforums.

Jitahidi Kuwa mvumilivu wakati huu ambapo "malaika" wanakushikilia huku "mungu" wao akiwa kimya kama hajui kinachoendelea huku ikifahamika malaika wametumwa na mungu.

Ndugu Mello, tafadhali upatapo barua yangu nakuomba tulia utafakari na utambua unapigana vita muhimu sana tena muhimu kuliko hata maisha na roho yako.

Unalinda uhuru wa kutoa mawazo, maoni na kupashana habari, hivyo si suala dogo, kuwa mvumilivu, kuwa mzalendo, unaipigania Tanzania, Tanzania ni muhimu kuliko roho yako. hata hao mawakala wakikuua usijali, damu yako itakuwa imetumika kama wino wa kuandikia maneno mawili, UHURU na UKOMBOZI.

Hakika unaumia na unateseka sana kwa unayopitia, usife moyo, ukifa moyo tutaumia wengi, ni bora uvumilie upweke wako na mateso yako huko gerezani.

Ndugu yangu Maxcence tafadhali pokea pole, shukrani na pongezi kutoka kwangu.

Jisikie uko nasi hapo ulipo!

salaam!

Shukrani Ngonyani
Lilongwe.
Naomba hii post upin juu. Power of social media
 
Mkuu umesahau wale waliokula pesa ya tetemeko kagera nao wanalala miguu juu
Wapo wengi hata wa chenji ya bunge la katiba,Reli kwenda Airport,ukarabati wa reli ya kati,bomba la gesi,kiwanda hewa kule Lindi,mamilioni ya CDA nk .
 
Ndugu Maxence,
Salaam,

Pole na hongera kwa kipindi hiki unachopitia, ni kipindi kigumu lakini ni kipindi cha kujenga ujasiri na kukokomaza kifikra na msimamo.

Ndugu Maxcence wakati wewe umelala ktk kuta nene na ndefu za magereza, kwa "kosa" la kuweka jukwaa la kutoa maoni, mawazo na habari kwa matakwa ya ibara ya 18(1-1V) ya katibu huku ,kuna Wenzako wanakula raha.

kuna wezi wa ESCROW wapo wamelala na wake zao, wezi wa IPTL wamelala na mahawara zao, waliotupiga pesa ya radar wamelala na vimada wao, huku wewe uliyeweka jukwaa la kufichua uovu huo ukiwa nyuma ya milango ya chuma na kuta nene za magereza.

Wengi tulitarajia na tulijua kuwa wale malaika wa kufungia mitandao ya kijamii wataangukia Jamiiforums.

Jitahidi Kuwa mvumilivu wakati huu ambapo "malaika" wanakushikilia huku "mungu" wao akiwa kimya kama hajui kinachoendelea huku ikifahamika malaika wametumwa na mungu.

Ndugu Mello, tafadhali upatapo barua yangu nakuomba tulia utafakari na utambua unapigana vita muhimu sana tena muhimu kuliko hata maisha na roho yako.

Unalinda uhuru wa kutoa mawazo, maoni na kupashana habari, hivyo si suala dogo, kuwa mvumilivu, kuwa mzalendo, unaipigania Tanzania, Tanzania ni muhimu kuliko roho yako. hata hao mawakala wakikuua usijali, damu yako itakuwa imetumika kama wino wa kuandikia maneno mawili, UHURU na UKOMBOZI.

Hakika unaumia na unateseka sana kwa unayopitia, usife moyo, ukifa moyo tutaumia wengi, ni bora uvumilie upweke wako na mateso yako huko gerezani.

Ndugu yangu Maxcence tafadhali pokea pole, shukrani na pongezi kutoka kwangu.

Jisikie uko nasi hapo ulipo!

salaam!

Shukrani Ngonyani
Lilongwe.
Maneno mazuri sana na yenye faraja.....Chozi la mnyonge haliendi bure...Mungu akupe nguvu Maxence
 
Ukiisoma hati ya mashitaka utaona kuwa huyu bwana alikataa hata kushirikiana na polisi, tafusiri yake anadharau kwa vyombo vya dola. Sasa kama alikuwa hajui kuwa ipo serikali basi ni wakati wake kulijua hilo, ni nini hasa alikuwa anakificha m[paka akawa anawadindia polisi wasitekeleze majukumu yao ambao wapo kisheria.
hii si kweli japo unalazimisha ionekane hivyo kwani Max ana kosa gani mpaka aonekane anawazuia kufanya kazi yao? Kwani max huwatuma wachangiaji waseme anachotaka yeye? na kama wamiliki wa mitandao ndiyo wenye kubeba makosa ya wachangiaji mbona Facebook,WhatsApp nk wachangiaji wanafanya makosa wanakamatwa wao lakini wale wamiliki wa hiyo mitandao hamuendi kuwakamata?
 
Kama vp watumwe police wa kimataifa waende kuwakamata wamiliki wa FB,Tango,WeChat,WhatsApp na mitandao mingineyo kibao ambayo wachangiaji wake wamewahi kuitumia kufanya Uovu kwa Tanzania.
 
wataalamu wa Sheria naomba muongozo wenu

Maxence ni mmoja wa wamiliki wa jamii media company, nijuavyo mimi kampuni ni legal person ikimaanisha kwamba inazaliwa, kukua na hata kufa, inashitaki na kushitakiwa, inadai na kudaiwa na mengine mengi, kwa limited liability company owners hawawajibiki moja moja Bali kampuni Kama legal person.

Na ikitakiwa owners kuwajibishwa basi kuna taratibu za kihamakama za Kuomba uwajibishwaji wa wamiliki, na kuomba ku lift corporate veil ambapo hapo Sasa mahakama itaruhusu ama kukutaa ku treat makosa, madeni n.k ya kampuni Kama makosa binafsi ya wamiliki. Mkumbuke hapa tuna watu wawili kampuni Kama Mtu wa kisheria na wamiliki ambao sheria ya makampuni inawatambua Kama watu tofauti.

Ninachotaka kufahamu ni lini basi mahakama iliruhusu ku lift corporate veil na kumuhushisha Maxence na makosa ya kampuni ya jamii media?

Pili, ni Haki kwa Maxence peke take kukwamatwa?wako wapi wamiliki wengine wa jamii media?hawahusiki?

Hoja Imara
 
Back
Top Bottom