Barrick imetunyanyasa sana.

Aug 21, 2011
26
0
Nilisoma gazeti la Mwana halisi la 31August kuhusu malalamiko ya wahusika dhidi ya Mwajiri au aliyekuwa Mwajiri wao. Nionavyo mimi. Lawama hazistahili kwenda kwa Kampuni ya Barrick kabla ya kuangalia mapungufu yameanzia wapi? Watu wanaangalia na kulaumu walipoangukia bila kuangalia wamejikwaa wapi? 1.Sheria zetu za kazi hazimlindi ipasavyo mfanyakazi kutokana na athari anazoweza kuzipata kutokana na kazi anayofanya. 2. Sheria zetu hazitoi fidia ya kuridhisha kwa mfanyakazi anayeathirika na magonjwa yatokanayo na kazi. 3. Wasimamizi wa sheria hawana MENO MAKALI ya kuweza kusimamia ipasavyo hata hizo sheria dhaifu zilizopo. Angalia sheria ya hii. Mfanyakazi akiumwa na akashindwa kufanya kazi, Mwajiri kwa uthibitisho wa Daktari atampa likizo ya ugonjwa yenye malipo kwa siku 62 endapo hajapona ataongezewa siku zingine 62 zenye nusu malipo. Baada ya hapo Mwajiri anamwachisha kazi mhusika. Hatutakiwi kulalamikia huruma za Waajiri. Ati Barrick hawana utu. Ninawauliza Wana JF. Nani ameshawahi kukutana na Mwajiri binafsi mwenye Utu. Nani asiyejua kuwa endapo atatatanguliza utu maana yake ni kujipunguzia faida yeye mwenyewe. Ukiona Mwajiri binafsi anatoa msaada ujue ANAWEKEZA AU ANATAKA UMAARUFU FULANI ambao baadaye utamsaidia kupata unafuu fulani katika uendeshaji wa biashara zake, kwa maana ya faida zaidi. Walinzi wa sheria wanapewa lift kwenye ndege za Barrick unategemea sheria dhaifu itekelezwe kweli? Sijui wana JF manasemaje?
 

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
114
Tunajua wengi tumekuwa makini sana kufuatilia jinsi uendeshaji na mikataba ya serikali na makampuni ya madini, mojawapo ni kampuni ya African Barrick Gold. Tunajua the problem sio misaada ya Barrick pekee inayopelekwa kwenye ofisi za wizara, ccm na ofisi ya raisi bali ni dharau ya Barrick kwa wananchi wa Tanzania.

Kama ilivyotegemewa na owners wa Barrick, kumtuma Mwanyika akiwa mtanzania pekee kama lobbyist wa Barrick serikalini na inchini. What can we say about that? Si jambo la kushangaza ukijikuta unatumiwa? That's only way Barrick waliona umuhimu wa kuongeza nafasi ya VP na board member kutoka Tanzania. Sio wewe pekee Mwanyika ila hata board member Juma Mwapachu feel the same way, that's so right from most of so called intellectuals wa generation ya ufisadi. Let me just continue na respond ya Barrick hapa chini.

Senior Management - African Barrick Gold plc
CORRECTED-(OFFICIAL)-UPDATE 2-African Barrick Gold plans Tanzania listing | News by Country | Reuters


Tukianza kuzungumzia jinsi gani Barrick wana-respond na opposition ya wananchi tunaona moja kwa moja wanatumia playbook ileile ya kutoka kwenye mining act ya 2010. Kutokana na juhudi za Barrick ku-lobby hard kwa baadhi ya wabunge walifanikiwa ku-twist hand na kuelezwa ku-register hizi kampuni za madini katika Dar Stock Exchange ambapo wananchi wanajikuta wananunua hizo shares wakiwa hawana say and being used by Barrick face. Kwa corrections zilizotolewa na Mwanyika juu ya registration in DCE, Barrick wanasema this is not the way they want to go and they will not follow the law. What can you say about laws za Tanzania, seem any fisadi can manipulate, pick and chose! Congrats kikwete na zitto! Mwanyika aliongeza kwamba Barrick ime-invest Tanzania 2billions and they are current holding 3.2billions in capital ... Tuonyeshe huo ukweli?
View attachment 14-2010.pdf
Ukisoma mining act 2010 hapo kwenye link above (nasihi kila Mtanzania asome) hasa section VI kuhusu loyalties zilivyopitishwa wakisihi ni sheria, do you know you have right to demand public inform kuhusu hizi mapato ya serikali kutoka Barrick? Je serikali walishaonyesha wananchi hata mara moja?

The other response ya Barrick ni kuanzisha mfuko wa funds za kusaidia development Tanzania. Baada ya kuona wananchi wengi wanachukizwa na tactics za kununua watu serikalini na kwenye majimbo ku-affect demokrasia ya Tanzania, sasa Barrick wanajitahidi kujiweka ahead in respond to demand of actions kutaka laws za kuzuia open corruptions. What's Barrick prepared to do in coming years? Wanafungua hii mifuko ya funds ili kujilinda na kushitakiwa endapo cdm waki-demand na kuzuia direct contributions kutoka kwa businesses ili wao wadai hii ni kama NGO's but ikifanya contributions zilezile na ku-avoid taxes at the same time, huko US zinaitwa PAC!

Upotoshaji wa Barrick kuhusu Taxes Compared to Mining Earnings and Stocks Value

Nimefuatilia kwa undani hii kampuni ya Barrick na jinsi gani wanaendesha biashara zao na kupata mengi sana. Kwanza inaonekana kabisa hii kampuni inawaibia watanzania na utajiri wake wote unatokana na madini yaliyopo Tanzania. Migodi wanayomiliki yote duniani ni hapa hapa Tanzania nayo ifuatayo Bulyanhulu, Buzwagi, Mara North, Tulawaka na Nyanzaga. Kuna utata mwingi kama hii kampuni kweli ilianzishwa vipi na kupata uwezo wa ku-funds hizi projects Tanzania at once .... stay tune! Let's go back kwenye operations na businesses za Barrick.


Tukifuatila sana kwa upande wa Tanzania tunaona hakuna records zozote zinaonyesha Barrick wanalipa taxes kiasi gani wala how they report their books, who's incharge to audit their books and doc base on no legislation and who and how they refining their mines? The truth ni kwamba hata ukisoma mining act 2010 utaona hakuna majibu mengi na ilikuwaje ikaitwa mining act 2010? Maybe wahusika waliohusika na kuandika walipata review ya mining act 1998 na doc zote kutoka TRA na ministry of mining. Hapa tuna maswali mengi na hakuna majibu!

The facts tunaona gold price ikikaribia $2000 per once na price ya ABG ni 600 ni vipi serikali ya Tanzania inakaa kimya na kuendelea kuongeza madeni na umaskini kwa generations za Watanzania IMF na WB? Majibu hapa anayo kikwete na ngereja. Leo hakuna umeme, maji, ajira, elimu, huduma za mahospitali hata yale majimbo Barrick wanachimba madini.
Ukisoma financial statement za Barrick zinaonyesha first half of 2011, Barrick wamepata faida ya net $445million up to June 30 na walichimba total of 345,857ounces. Je serikali ya Tanzania ilikusanya taxes na royalties kiasi gani na kwanini Tanzania haina umeme wala maji leo hii? Maybe the country's priority is to pay posho first! Hapa sielewe na nahitaji something kunisaidia na headache yangu!
Home - African Barrick Gold plc

View attachment Final-Half-Year-Report-2011.pdf

Je Ngereja alitoa tamko gani kuhusu super tax profit?
"We will not impose the proposed super profit tax on existing mining companies. If implemented, we will have to negotiate it with the companies because they already have agreements in place with the government," he told Reuters.

Tanzania won't impose tax on existing mining firms | Reuters

Je Zitto alitoa tamko gani kuhusu kuongeza loyalties kwa Taifa?
The government will increase revenues a lot thanks to the new mining legislation ... But, it might send a negative signal to investors and might impact foreign direct investment. I'm worried on that," Zitto Kabwe, a member of parliament from the opposition Chadema party told Reuters.

UPDATE 2-Tanzania increases royalties in new mining law | Reuters
What coincidence of statements

Solutions

Serikali hii lazima ilazimishwe kuwa transparent kwa kila kitu. Kama wengi walishajadili haya na wanaendelea kupigania gov openness ni lazima tulazimike kupinga hii serikali kutokana na kuonyesha kuyapa makampuni waivers na kupokea rushwa. Sioni kitu kikubwa zaidi ya kupigania constitution mpya haraka sana. Kuna baadhi wameanza ku-push kwa vitu vidogo vidogo ili kikwete na ccm waonekane wanafanya kazi ya kurekebisha hii katiba iliopo. Wengi tunapinga jitihada zozote zile za kuendelea kumweka kikwete na serikali ya ccm above the law or final decision makers.

Lazima media na wananchi ku-request documents and records za mikataba, taxes na loyalties za wananchi. Sasa tunaona hata hii mining act 2010 haijakuwa funded na haina enforcement yeyote ile. Let's not depend on zitto, ngereja, ndulu, kikwete, makinda kutupeleka next century.

Something I recently learned kwanini wananchi wa South Africa na serikali yao ili-push for african ownerneship kwenye mining sector. Kuna vita sana kuchafua mipango ya kuwapa wananchi ownership in SA na sisi Watanzania ndipo tunapoelekea. We want foreign investments but Wananchi must be part of it too, also fair joint ventures not less!

South Africa’s Mining Law Review May Calm Investor Fears - The Source - WSJ
 

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
mwanangu,umeitendea haki JF coz you dared 2 speek openely and critically
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,957
4,620
Nani wa kusimamia mabadiliko ktk Mining sector ikiwa kiongozi wa nchi ana mgao na waziri wa nishati wana migao yao kutoka kwenye hiyo migodi?

Ukiachilia mbali hayo yaliyoelezea na mwanzisha mada, lakini pia vitendo wanaofanyiwa wafanyakazi Watanzania ktk hiyo migodi sio vya kuvumilia hata kidogo.
Nobody care!!
Inafika kipindi Meneja wa Barrick anamwambia kiongozi wa Serikali ya kijiji kwamba "mimi namwonga Rais wako..." Na hachukuliwi hatua zozote.
Migodi hiyo hiyo inaongoza kwa polution.
Sumu kali zinasambaa kwa wakazi jirani na migodi, mvua zimekata, zikinyesha ni 'acidic rain'
Wakazi wanaugua magonjwa ya ajabu ajabu kutokana na sumu hiyo.
Sisi Waafrika sijui tuna matatizo gani ktk ubongo wetu!!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Wabunge wataweza kuiwajibisha hii migodi kama wanakodishiwa ndege. Huu ni upupu. Tanzania hatuna kiongozi mwenye uwezo wa kudhubutu kulisemea hili.
 

Laurel421

Member
Jun 28, 2011
23
0
Wabunge wataweza kuiwajibisha
us.jpg
seo1.jpg
us.jpg
seo1.jpg

seo.jpg

uk.jpg
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
Ni kweli kuna sheria nyingi hazimlindi mfanyakazi,..kuna ofisi flani ukiumwa tu ujue siku hiyo hiyo kazi huna. Kuna watu wanakaa nje ya ofisi kusubiria mtu aumwe au apate dharula washike nafasi zao.
Japo ni cheap labours lakini haki zao ziheshimiwe kama wafanyakazi.
 

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
114
LIFE IN AFRICA - THE GOOD AND THE BAD

Whether good or bad, Africa is my home and there is no place like home. I love Africa because there is no place like Africa. Even in my second life If God should give me the opportunity to choose where to live, I would choose Africa because I love Africa and there is no doubt Africa loves me. Some people don't understand. Some people think they know but they do not know. Some people think they know all about Africa but the truth is that, none of them knows Africa the way I do. I know Africa and Africa knows me. I was born in Africa, I grew up in Africa and Africa is my home so you must believe me if I tell you there is no place like Africa. If it is true there is a God up there beyond the clouds then I am very sure that God is an African why because Africa is the rhythm of life. Africa is that mighty tree of ancient origin rooted in mountains of gold and silver. Africa is that mighty stream. Africa is that stream of life. Africa is that mighty stream full of untold number of souls. Africa is that bird. Africa is that quiet but mighty bird. Africa is that quiet bird with the voice of thunder. Africa is that mighty bird with the wings of gold and diamond feathers. Anytime Africa spreads her precious wings of different colors, even the beasts below the surface of the earth smile. Africa is my home and there is no place like Africa.

It is very true my great great grandfather did not build an airplane but what people do not understand is that, my great great grandfather did not need an airplane to fly.
It is very true my great great grandmother could not write her story in a book but what people do not understand is that, my great great grandmother was able to carve her story on a mountain that does not move. If you see my uncle walking on the Kalahari desert with no shirt and no shoes on, don't just conclude he is dumb because my uncle chases away wild beasts with his bare hands and it takes great courage and wisdom to do that. If you live in New York City, don't just conclude my uncle in the jungle is a fool because no fool survives in the jungle full of wild animals.

Some people think Mama Africa is an illiterate but what Mama Africa knows the world can never know even half. If you steal from Mama Africa's backyard and she doesn't chase you away with a gun, don't just conclude Mama Africa is blind because the eyes of Mama Africa shines like the Sun and it sees all things but she doesn't judge instead she lives everything to He who knows how to judge. Once again, I love Africa because Africa is my home and there is no place like home.
Anywhere you hear "poverty", you hear "Africa". There is poverty in Africa today. There is no doubt about it. My great great grandfather had food in abundance and he had enough to drink. My great great grandmother had enough to give her grandchildren anytime they asked for something to eat. My great great grandfather had enough gold and precious minerals to decorate his throne. There was plenty in Africa but plenty has been taken away leaving Mama Africa with very little to give her beloved children anytime they ask for something to eat. The only problem with Mama Africa is that, she opens her arms all the time. Mama Africa opens her arms and welcomes every stranger thinking all men are the same not knowing some men are worse than death.They come with sweet tongues and friendly faces but wicked minds and charcoal hearts. Some do not understand but instead of taking time to understand, they rush into conclusions.
There is poverty in Africa but why is there poverty in Africa? There is hunger in Africa but why is there hunger in Africa? You took away the piece of bread I had in my hands by force and now you are trying to feed me with expired biscuit why because I have nothing left to eat knowing very well that expired biscuit does me no good. Is it fair? You break my home into pieces and then you come back later on and teach me "UNITY IS STRENGTH". Do you expect me to love you? If UNITY is STRENGTH as your good book says then why break my home into pieces? You take away my eyes and come back later on with a walking stick for me. Do you expect me to thank you for the walking stick? Some people think they know but they do not know. Some people think they understand but they do not understand. Some people are very bad but they don't even know the fact that they are bad which is very sad.
Many Issues need to be addressed. Many problems need to be solved. It is time we come together as one people with a common destiny.

POOR EDUCATION:
Education and by Education I mean good education is the key to solving most of our problems. Why should I worry myself learning about Abraham Lincoln and Thomas Jefferson when I don't even know about Kwame Nkrumah and Mandela?. Education in some parts of Africa is very poor not just because of poverty but because of the unnecessary things they teach us. My teacher was busy teaching me how to draw an American map when I didn't even know how to draw an African map. It is time we start learning the most important things first. Instead of wasting precious time learning American history, we could be learning about agriculture and proper ways of growing crops and rearing animals. Agriculture unlike American history benefits Africa directly and that is what we need to be studying not American history in Africa. There are many important things in this world but some are more important than others and we must do the most important things first. We learn so many unnecessary things in school instead of concentrating on the most important things.

FOREIGN INTERFERENCE:
The western world pretends to help but in reality, the western world only knows how to destroy Africa. The western world only helps destroy Africa and I have my reasons. The western world has done nothing but great harm to Africa. Our sorrows serve as melodies for their Amazing grace. They benefit from our pains. They benefit from our tears and sorrows. They pretend to help but that is just one of the ways the wicked one deceives people. It is time we start thinking for ourselves instead of allowing the west to think for us all the time. The west has nothing good to think about Africa besides "lets go there and make more profit". They encourage the planting of trees in their countries but come in record numbers to Africa to cut down all our trees for timber. The gold belongs to me but the west determines the market price of my gold. Is it fair? The diamond belongs to us yet the west determines the price of our diamond. This should tell you a lot about the west and how they benefit from our sweats. It is time we start depending on ourselves instead of depending on the west because the western world has nothing good to offer Africa. They know UNITY is STRENGTH and that is why they keep dividing Africa so they can control and manipulate us all the time. The West destroys and then pretends to help rebuild very similar to the way the devil steals and destroys. They ensure that only wicked people win elections in Africa. The west benefits from our wicked and greedy leaders so they always use money and influence to help the wicked ones win elections in Africa that is why most of our leaders in Africa today are very corrupt and greedy. The west cannot benefit from Africa if Africa had great leaders who do not depend on the west but on Africa. I am not saying we should do away with the west completely but we should do away with their interference. We shouldn't allow the west to decide for us all the time because the west has nothing good to offer Africa.

POOR LEADERSHIP AND CORRUPTION:
There is no doubt our leaders are very greedy, corrupt, and wicked-minded people. We do not elect bad leaders in Africa instead the west elects these corrupt people to rule Africa so the west can benefit from our sweats. When the west elects these greedy leaders for us, sometimes my people revolt and then the west sends NATO troops, etc. to intervene as if they are helping. That is why you often hear political violence in Africa. The west referred to Mandela as a monster but as we all know, Mandela was a freedom fighter who did not give in to the western influence. They offered Mandela money but he rejected it. They offered Mandela paradise but he rejected it why because Mandela loves Africa. I cannot say the same about the other leaders in Africa because they are all corrupt and wicked-minded. More than 500,000 innocent people were murdered in Darfur and Omar Al-Bashir of North Sudan sponsored most of the killings yet remains president. Gaddafi and Mugabe for example are anti-west but also monsters why because they offered Gaddafi money initially and he accepted it and later on turned against the west. His turn against the west was not to protect Africa but rather his own interest. Gaddafi's turn against the west was not because he loves Africa but because he loves his power and doesn't want to let go power. If Gaddafi loves Africa so much as he preaches, he would do anything possible to protect Africa but what do we see now? Gaddafi kills his own countrymen all in the name of protecting his country. Does it make sense to kill your children just because a monster is in your house? I am not saying Gaddafi should not fight the western oppressors but Gaddafi's fighting and killing of his own people is something very insane in my opinion. After 42 years in power, any "loving" leader at all would leave in peace to avoid further bloodshed if not for anything at all. Mugabe is also an anti-west. Mugabe accepted all that the west could offer him initially and then turned against the west. Mugabe's turn against the west was not to protect Africa but his own interest just just like Gaddafi. Mugabe took away all the lands from the white settlers but what did he do with those lands? he gave those lands to his immediate relatives and friends while the poor farmer had no land at all to farm on. So in short, most African leaders are very corrupt and greedy and the west sponsors most of them if not all.

One Proud African
Everyday Life in Africa - Living and Surviving in Africa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom