Barrick Gold kuchanga 16 billion kwa maendeleo ya Jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barrick Gold kuchanga 16 billion kwa maendeleo ya Jamii

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Sep 8, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="width: 100%, bgcolor: transparent"]Barrick Gold kuchangia Sh16 bilioni kwa maendeleo ya jamii
  [/TD]
  [TD="width: 100%, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]Wednesday, 07 September 2011 21:30
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]Mwandishi Wetu/mwananchi news paper
  KAMPUNI ya African Barrick Gold (ABG) imezindua mfuko wa maendeleo kwa jamii na kuidhinisha Sh 6 bilioni kila mwaka. Mfuko huo ndiyo utakaokuwa kitengo cha uwajibikaji kwa jamii cha ABG.

  Akizindua mfuko huo jana, Mjumbe Huru wa Bodi ya Kampuni ya Barrick Gold, Balozi Juma Mwapachu alisema Bodi ya ABG imeidhinisha bajeti ya Sh16 bilioni kila mwaka kwa ajili ya mfuko huo na hivyo kudhihirisha msimamo wa kampuni wa kufanikisha maendeleo endelevu nchini Tanzania na kusaidia kuboresha maisha ya watu.Alisema uzinduzi wa mfuko huo jana utaunda uwekezaji mkubwa zaidi kwenye jamii kuwahi kufanywa Tanzania na kampuni yoyote ile.


  "Tunapolenga kodi ya mapato tu na au mrabaha tunasahau mchango mkubwa sana unaofanywa na kampuni hizi kwenye uchumi wa nchi, hebu chukulia mfano wa ABG imetoa ajira za moja kwa moja kwa Watanzania zaidi ya 8,800, lakini pia imefanya manunuzi ya bidhaa na huduma ya mamilioni ya shilingi, hii ni faida kwa uchumi wa nchi yetu, lazima tuliangalie hili," alisema.


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  My take
  Kama mwaka jana walizalisha ounces 564,000 lets assume the same mwaka huu.
  http://www.barrick.com/GlobalOperations/Footnotes/default.aspx
  With 564,000 ounces kwa bei ya sasa ya 1600 usd kwa ounces unapata 1.4 trillion za kitanzania kwa exchange rate ya 1600.
  Sasa iyo 16 billion waliotoa ni sawa na 1.1% ya mapato yao ndugu yangu Mwapachu ilo nalo la kulitetea?
  Izo ajira 8800 kama ni kwa watanzania uliza wanalipwa tsh ngapi na madhara wanayopata kiafya kwa kwenda chini sometimes umbali wa mita 600 leave alone mionzi wanayopigwa kudhibiti wizi wa dhahabu.
  As data zao wenyewe zinonyesha 2004 Bulya 349,864 ounces,buzwagi 189,000 ounces,North Mara 280000 ounces na Tulawaka 124743 ounces grand total ni 942000 ounces apprx
  Jamani tupeni data za ukweli maana mara 564000 ounces mara 942000 ounces which is which
  Ni matumaini yangu izo ounces zaongezeka on the year basis ndo maana bado mpo mnachimba
  http://www.tanzaniagold.com
  Maombi yangu
  1.Retain some of the money in Tz to stabilize our currence as iyo gold ni ya Tanzania
  2.Muanze kulipa kodi ili muipiku TBL katika ulipaji wa kodi as mko na migodi mine you deserve to be topping the list
  3.Mchango wenu angalau ufike 10% from 1.1% angalau nasi tufeel kuwa Gold inachimbwa Tz
  Vinginevyo migogoro na wananchi pamoja na kelele za wananchi juu ya ABG hazitakoma milele.
  4.Hao watu 8800 let them be paid kwa rate sambamba ni migodi mingine angalau Africa maana nkisema ulaya ntakuwa nimeenda mbali.You the rates that other mines get paid
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamii gani hiyo itakayosaidiwa? Kama wanawaua wakazi wa Nyamongo na wale wa mto Tigithe na mpaka leo wameshindwa kuwaokoa na madhara waliyowasababishia, hiyo jamii wanayoijali wao ni jamii gani. Tumechoka na vitendo vya wawekezaji wa nchi hii vya kushirikiana na wafanyakazi wa kizalendo kudhulumu haki na maisha ya wananchi na huku wakiwatumia wazalendo hao kuhalalisha mipango uchwara kama hiyo inayotangazwa kwa mbwembwe.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tulisikia kule bungeni kwamba chef wa kitanzania analipwa sh. laki nane kwa mwezi wakati chef aliyeajiriwa toka Ghana analipwa sh. milioni 11, halafu tunawachekea hawa majambazi wanaojiita Barrick.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Balozi Juma Mwapachu, I think he's just another modern day Chief Mangungo, tena worse, kwani kaelimika academically na ni mwenye exposure kubwa nje ya nchi!!! 16 billion out of a trillion kwa mwaka unasema wanajali??

  Halafu anaongelea ajira za Watanzania 8,800, sasa anategemea hiyo dhahabu ingejichimba yenyewe??
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Walipe kodi kwanza
   
 6. a

  alles JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku kote ni kutapata baada ya kuwambiwa ukweli kwamba hawapo kwenye 15 ya walipa kodi wakubwa Tanzania. Wanashindwa na hata kampuni za kutengeneza bia na chibuku kwa kulipa kodi. Barick wanafaa waambiwe kwamba misaada ya namna hiyo hatuitaki kwanza walipe kodi.
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inachohitaji siyo misaada kutoka kwa watu wenye madeni ya kodi zetu. Walipe kodi zetu halafu sisi tutapanga matumizi kwa kuangalia vipaumbele vyetu siyo kuturuzuku misaada kwa masharti yanayotaka wao. Hii ni mbinu ya kutupumbaza ili tuwaone watu wema wakati ni wezi wanaopora madini na utajiri wetu na wakati huo huo wakikwepa hata wajibu wa msingi wa kulipa kodi. Halafu waziri mwenye dhamana na madini yuko bize kunengua miziki na kupanga namna ya kupiga madili! Shame on you!
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwanini kila anayechambua swala la madini hagusii kabisa investment cost. Ingekuwa fair zaidi kama tungetaja na idadi ya pesa zinazotumiwa kwenye uchimbaji, processing na usafirishaji then tunaweza kuestimate profit. Kutoka hapo ndio tujue kiasi gani tuwabane hawa wawekezaji. Tukiandika tu kiasi kilichochimbwa na bei yake, tunakuwa unprofessional kwa sababu ukweli uko palepale kwamba kama kuchimba dhahabu hakuna gharama basi hata Nyerere angechimba.
   
 9. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa ndio lipo hapo.Kama ule mkataba W Ngeleja aliosaini na Orphir wa dola bilioni 7 hata tukija kupata mafuta bado kodi tutapata ni kidogo kutokana kiasi walicho invest.Kama ni kweli wanainvest kiasi cha mabilioni ya dola nini kinawashinda kujenga barabara ya kwenda machimboni na kuwa na ememe wa kujitegemea?
   
 10. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #10
  Sep 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  This is an insult to Tanzania. When Chibuku Breweries contributes more to the Treasury in form of income tax than Africa Barrick [ABG] which gets all its income in Africa from the four gold mines it owns in Tanzania - then the current CCM government is exactly what Mwalimu Nyerere meant by Serikali LEGELEGE. That ABG doesnot feature in the 15 top tax payers in TZ leads us to believe that this country is now on slipping very dangerously down the hill. We need change in leadership! THat should be the aim for 2015!
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ze marco ukifungua izo website utakuta izo investment cost zao unaweza chambua on your own alafu utuletee majibu!Alafu ukumbuke ata izo figure unaweza kuta sio za ukweli hauwezi ukawa unadeclare umepata hasara alafu bado wangangana na kazi as a result hawalipi kodi
  In short hii ni namna nyingine ya kutupumbaza kuwa wanatujari kwa izo 16bill.Tungekuwa na serikali ngangali naona ata izo 16bill tusingezikubali mpaka watupe mchakato wa kodi so far!
   
Loading...