Barrick buzwagi watangaza redundace

Barrick buzwagi watangaza redundace

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Mgodi wa dhahabu wa buzwagi wa mkoani shynga umetangaza kupunguza wafanyakazi zaidi ya 200, chanzo cha punguzo hilo ni pamoja na uzalishaji wa dhahabu kuwa na cost kubwa, ova
 
eheee kibarua hikooo kinapaa na ungo wa sangoma
 
Waache uoga. Wafanye negotiation nzuri ya redundance package wakaanze uchimbaji mdogo.
 
Back
Top Bottom