Kutangaza kwingine na Mtaani kwingine. Mbona Tanzania haturuhusu Ushoga ila mitaani, Faruku alijulikana sana miaka ya 70 mwishoni, itakuwa sasa? Watu walimfahamu na hata kwenda kwenye Show zake "Mzoea vya kunyonga, vyakuchinja haviwezi....." Kanisani unaambiwa uwe na mke mmoja, ila kila mtu anajua Mzee fulani ana nyjmba ndogo.....