Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,898
- 55,865
Mtoto halali na hela kwani kumbatio lako limeenda wapi mkuu mpaka ukumbatie mto
Njoo nyada za juu kusini uone baridi lake
bado nipo nipo Mr Rocky
Basi endelea kuteseka mkuu hapo huna ujanja
Umeona ee, wanaijaza dunia.
Na hapo barafu haidondoki sasa je ungekaa kwa wenye baridi mpaka barafu inadondoka ungekuaje. Mkuu vumilia waza mambo mengine utaiona baridi ya kawaida na wala hutasumbuka.
hahahaha na wewe tafuta wako ujaze dunia
Si umeona shost watu wanavyojiendekeza ehhh…wengine tupo kwenye madip friza kabisa mpaka -20 degrees inashuka friza haiingii ndani na hatulalami lol :smow:Bora umwambie hao wanafanya masihara hicho ni kijiupepo tu baridi hasa hawajaiona....
Cc gorgeousmimi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Si umeona shost watu wanavyojiendekeza ehhh wengine tupo kwenye madip friza kabisa mpaka -20 degrees inashuka friza haiingii ndani na hatulalami lol :smow:
Dar kuna baridi?