Daah fedhea sana leo hela ya kamali imekuwa ngumu mnoo, yaani picha linanzaa Barcelona kaingia Msikitini na kitimoto dk 15 kabuluzwa 2Huyuu mshenzi lookman sijui wamemtoa wapii shehe kha
Lilikuwa jeshi la Atalanta hilo..kaingia dirisha dogo.Huyuu mshenzi lookman sijui wamemtoa wapii shehe kha
Barca ndo zake hao. Nadhani ishatokeaga hivyo. Atletical na Barca4-1 shehe uchelewi sikia asbh 4-5
Leo muhindi anajilia tu vitu vyake😂😂Kitumb...kimeingia.mchanga shehee
Nlikuwa nmeifunga acc yangu ya betpawa kwa miezi mitatu,leo ndo imefunguliwa ,muhindi kaipokea kwa kishindo😂😂Unambiwa furaha na amani na pesa vinapatikana kwa Mungu tu
Kaibikirii hahahaa 😄 🤣 m nilifungua Feb 5 toka Nov 3 akanipa 240000 nkaweka odds 3 yotee akazitwaaaaaaaaNlikuwa nmeifunga acc yangu ya betpawa kwa miezi mitatu,leo ndo imefunguliwa ,muhindi kaipokea kwa kishindo😂😂
😂😂😂Wanangu mna bahati sana, hzo swadaka znanipita tuKaibikirii hahahaa 😄 🤣 m nilifungua Feb 5 toka Nov 3 akanipa 240000 nkaweka odds 3 yotee akazitwaaaaaaaa
Naona leoo tena anafanya karamu na mizimuyakee pale ofisin aisee