Barca tulienda Munich kutembea sio kushinda.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.
 
Wamefungwa bila fitna Mkuu.
Leo pia hali si kuwa kirahisi
kwa pande zote.
Loh! Ulingalia TV gani au ulisikiliza TBC Taifa? Goli tatu ni makosa ya waamuzi mkuu.
 
Acha ubabaishaji wewe.....TV gani wanasema ni makosa ya waamuzi? Mbona nimeangalia super sport 3 hawjasema hivyo? Super sport 3 wamemlalamikia refa kwa kuinyima Bayen PENATI TATU!!!!!!!!Upo???
 
Mie naipenda sana Barcelona. Lakini jana tulifungwa magoli machache kuliko uwezo wa defence yetu ulivyokuwa. Ile ya penalti tatu hata mwanangu aliiona akaanza kunicheka. Kwa kweli refa alitia aibu kuwanyima zile penalti. Afadhali angewapa tujue moja kwamba tumepigwa basi
 
Acha ubabaishaji wewe.....TV gani wanasema ni makosa ya waamuzi? Mbona nimeangalia super sport 3 hawjasema hivyo? Super sport 3 wamemlalamikia refa kwa kuinyima Bayen PENATI TATU!!!!!!!!Upo???
nakubaliana na wee mkuu ndani ya box pique mpira ulimgonga mkononi na pia alex sanches aliugusa mpira wakati aliporuka kutaka kupiga kichwa ila kuna offside ya goli la pila ambalo mpira ulikua ni wa kona na goli la nne jardi alba alikua anaenda kumkaba robben muller alimuangusha refa kapeta na robben kapata nafasi ya kupiga mpira
 
Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.
Pole Mzee
 
Loh! Ulingalia TV gani au ulisikiliza TBC Taifa? Goli tatu ni makosa ya waamuzi mkuu.

"Mfa maji haachi kutapatapa"
Kama fitna na Bayern watasema wamenyimwa penalty, ila ukweli haujifichi hata cku moja, how did u expect kushinda kama iliwachukua dk 70 kufanya an attempt on target? Na match nzima mmepiga shuti 1 na nusu.
Poleni na viboko vya mkoloni wakatalunya!
 
Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.

Real madrid mabingwa wa UEFA sio ushabiki bali ni matokeo ya analysis:
Fainali pale wembley makazi ya moyo wa mourinho itakuwa real madrid vs bayern munchen

analysis fupi:
msimu huu:
real madrid vs borussia dortmund: 1 kwa 2
2nd leg real madrid vs borussia dortmund: 2 kwa 2

hivyo ni dhahiri kwamba hizi timu zinatoshana nguvu, kwa hio mbinu kidogo tu itakayotumika ndio itakayowatofautisha na hatimae kuwapa ushindi, na hapa nawapa real madrid nafasi kubwa ya kushinda kwa kuwa wao ndio waliobanawa kwa vipindi vyote, hivyo naamini watacheza kwa mbinu kubwa sana na hatimae kushinda na hivyo hivyo wakicheza na bayern munchen!!!!!!!

msimu uliopita:
1st leg real madrid vs bayern munchen: 1 kwa 2
2nd leg real madrid vs bayern munchen: 2 kwa 1, na kupelekea kuongezwa muda na wakatoshana nguvu na hatimae mshindi akapatikana kwa njia ya matuta, ambapo bayen munchen walishinda kwa njia ya matuta

tanbihi:
kwa kuwa real madrid wana kocha bora mwenye mbinu nyingi, na kwa kuwa hizo timu wanafahamiana sana kimichezo kwa maana ya kuwahi kukutana na mara zote wakiwasumbua real madrid nina imani kuwa real madrid wataibuka na ushindi wa ubingwa wa UEFA.

Tusubiri tuone!!!!
 
nakubaliana na wee mkuu ndani ya box pique mpira ulimgonga mkononi na pia alex sanches aliugusa mpira wakati aliporuka kutaka kupiga kichwa ila kuna offside ya goli la pila ambalo mpira ulikua ni wa kona na goli la nne jardi alba alikua anaenda kumkaba robben muller alimuangusha refa kapeta na robben kapata nafasi ya kupiga mpira

Usiwe mshabiki bila ya kuzijua sheria.....Huyo mchezaji aliyefanyiwa foul alifanyiwa na mchezaji ambaye hakuwa na mpra....yaani waligongana kiasi ambacho hakikuathiri juhudi za kuokoa mprira ndo maana refa hakupiga filimbi. Lakini kama Roben aliyekuwa na mpria ndo angemwangusha mkabaji lazima faulo ingepigwa against Bayen.

Real madrid mabingwa wa UEFA sio ushabiki bali ni matokeo ya analysis:
Fainali pale wembley makazi ya moyo wa mourinho itakuwa real madrid vs bayern munchen

analysis fupi:
msimu huu:
real madrid vs borussia dortmund: 1 kwa 2
2nd leg real madrid vs borussia dortmund: 2 kwa 2

hivyo ni dhahiri kwamba hizi timu zinatoshana nguvu, kwa hio mbinu kidogo tu itakayotumika ndio itakayowatofautisha na hatimae kuwapa ushindi, na hapa nawapa real madrid nafasi kubwa ya kushinda kwa kuwa wao ndio waliobanawa kwa vipindi vyote, hivyo naamini watacheza kwa mbinu kubwa sana na hatimae kushinda na hivyo hivyo wakicheza na bayern munchen!!!!!!!

msimu uliopita:
1st leg real madrid vs bayern munchen: 1 kwa 2
2nd leg real madrid vs bayern munchen: 2 kwa 1, na kupelekea kuongezwa muda na wakatoshana nguvu na hatimae mshindi akapatikana kwa njia ya matuta, ambapo bayen munchen walishinda kwa njia ya matuta

tanbihi:
kwa kuwa real madrid wana kocha bora mwenye mbinu nyingi, na kwa kuwa hizo timu wanafahamiana sana kimichezo kwa maana ya kuwahi kukutana na mara zote wakiwasumbua real madrid nina imani kuwa real madrid wataibuka na ushindi wa ubingwa wa UEFA.

Tusubiri tuone!!!!

Hilo neno la mwisho"TUSUBIRI TUONE" ndio muafaka wala hukuhitaji kuweka analysis ambayo inaonyesha kabisa tusubiri tuone.
 
Mm ni muumini wa wale wanaojaribu kujustify wanachoamini............kuacha kutoa analysis japo kwa jicho la kibinadamu(maana binadamu hatuna uhakika na mipango ya Mungu) kwangu naona si vyema.....ni muhimu kutolea ufafanuzi wa kila unachowaaminisha watu...ili mwenye kupingana nawe ajuae base uliotumia kusema!!!!!
 
Usijali na hapa ndo mahali pake nilimaanisha analysis yako inamaanisha Tusubiri tuone na sio madrid atatwaa kombe....kwa kutumia analysis yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom