Barca tulienda Munich kutembea sio kushinda.

Barca tulienda Munich kutembea sio kushinda.

"Mfa maji haachi kutapatapa"
Kama fitna na Bayern watasema wamenyimwa penalty, ila ukweli haujifichi hata cku moja, how did u expect kushinda kama iliwachukua dk 70 kufanya an attempt on target? Na match nzima mmepiga shuti 1 na nusu.
Poleni na viboko vya mkoloni wakatalunya!
Mzee mwenzangu inauma mno kwa kuona wachezaji wakijiuza tuu 'skills' zao za ku'possess' mpira huku hawafanyi juhudi yoyote ya kupata bao. Nimepata e-mail ya klabu eti wanaapa kulipiza kisasi mechi ya marudio!
 
Uwanja ulijazwa maji wakuu. Iliwakata stimu sana Barca tangu mwanzo
Hizo ndio huwa sababu zetu ndio maana ni MARUFUKU timu zetu kuonwa 'live' zichezapo sio humuhumu wala na timu za nje. Eti timu yetu ya taifa ina 'young', maajabu gani haya!!!!!!
 
Loh! Ulingalia TV gani au ulisikiliza TBC Taifa? Goli tatu ni makosa ya waamuzi mkuu.
Acha kupotosha watu wewe, potosha wenzio mliongalia mpira mnaojua wenyewe, nina mashaka na king'amuzi mlichotumia kama sio kile cha Yutong wa bamaga.
 
Mzee mwenzangu inauma mno kwa kuona wachezaji wakijiuza tuu 'skills' zao za ku'possess' mpira huku hawafanyi juhudi yoyote ya kupata bao. Nimepata e-mail ya klabu eti wanaapa kulipiza kisasi mechi ya marudio!
Wanafikiri hii ni AC MILAN!
 
Acha kupotosha watu wewe, potosha wenzio mliongalia mpira mnaojua wenyewe, nina mashaka na king'amuzi mlichotumia kama sio kile cha Yutong wa bamaga.
Mkuu, goli la kwanza Danke alimzuia Dani kuruka kwa kumkandamiza mabega, goli la pili la Muller alilifunga akiwa 'offside' tena watangazaji wa SS3 (kiingereza) walilalamika vilevile na la tatu Jordi alisukumwa ili asiuwahi mpira uliokuwa unafuatwa na Roben vilevile.
 
chezea jiji la MUNICHEN,mlifikiri huko ni PARIS?
Wajerumani wamejipanga mechi zao washinde liwalo na liwe ili kuweka mazingira mazuri mechi za marudio. Mambo yangekuwa tofauti kama mmoja angeanzia nyumbani na mwengine ugenini!
 
Mkuu, goli la kwanza Danke alimzuia Dani kuruka kwa kumkandamiza mabega, goli la pili la Muller alilifunga akiwa 'offside' tena watangazaji wa SS3 (kiingereza) walilalamika vilevile na la tatu Jordi alisukumwa ili asiuwahi mpira uliokuwa unafuatwa na Roben vilevile.
Kumbe huwa mnaona raha tu Barcelona ikibebwa na waamuzi El-classico.
 
Wajerumani wamejipanga mechi zao washinde liwalo na liwe ili kuweka mazingira mazuri mechi za marudio. Mambo yangekuwa tofauti kama mmoja angeanzia nyumbani na mwengine ugenini!

london mtaisikia tu,Buyern watachukua kombe,niliwaonea huruma sana mwaka jana walipolikosa tena kwao.
 
Mie naipenda sana Barcelona. Lakini jana tulifungwa magoli machache kuliko uwezo wa defence yetu ulivyokuwa. Ile ya penalti tatu hata mwanangu aliiona akaanza kunicheka. Kwa kweli refa alitia aibu kuwanyima zile penalti. Afadhali angewapa tujue moja kwamba tumepigwa basi
Mkuu si kila mpira na mkono ni kosa, pana 'ball to hand' hii sio kosa ila 'hand ball' ni kosa na laweza kusababisha kadi ya njano. Upo!!!!!
 
london mtaisikia tu,Buyern watachukua kombe,niliwaonea huruma sana mwaka jana walipolikosa tena kwao.
Yaonekana utabiri wako ni sahihi ndio maana mechi zote zinaanzia kwao.
 
Acha ubabaishaji wewe.....TV gani wanasema ni makosa ya waamuzi? Mbona nimeangalia super sport 3 hawjasema hivyo? Super sport 3 wamemlalamikia refa kwa kuinyima Bayen PENATI TATU!!!!!!!!Upo???
Hawa SS wanalugha mbili kama sikosei, kiingereza na kireno. Yawezekana mwenzetu ukawa umeangalia SS3 kwa lugha ya Kigogo! (Joke).
 
Mimi niliona magoli mawili ambayo yangeweza kukataliwa, goli la Robben na la Mario Gomez, lakini bado mwamuzi anabaki kuwa ndiye anayeamua lipi goli na lipi sio goli, mimi sio mshabiki wa Barcelona ila huwa siku zote nakuwa upande wao wanapocheza isipokuwa tu watakapocheza na Simba, kutokana na kupenda kuwa upande wa Barcelona kwa hiyo jana sikuamini nilichokuwa nashuhudia magoli manne sio mchezo na lawama zangu naweza kumwangushia Tito , kuna watu ambao hawakutakiwa kukaa nje kwenye ile mechi, Wajerumani ni aggressive sana sasa ili kupambana na watu aggressive kama kina Muller, Gomez, Lahm na yule kiungo mwenye jina gumu pamoja na kina Ribbery ingawa si wajerumani lakini ni aggressive vile vile, Tito naye angeweza kuwapanga au kuwaingiza baadhi ya wachezaji wa Barcelona ambao angalau nao wangeonyesha ubabe mfano Mascherano, Fabregas, Song hata Villa pia alitakiwa kuanza, lakini kocha huyu masikini ya Mungu sijui hajapona vizuri kafanya sub moja tu halafu muda wenyewe umeenda, dah poleni sana washabiki wote wa Barcelona, pole kocha Tito.
 
usiwe mshabiki bila ya kuzijua sheria.....huyo mchezaji aliyefanyiwa foul alifanyiwa na mchezaji ambaye hakuwa na mpra....yaani waligongana kiasi ambacho hakikuathiri juhudi za kuokoa mprira ndo maana refa hakupiga filimbi. Lakini kama roben aliyekuwa na mpria ndo angemwangusha mkabaji lazima faulo ingepigwa against bayen.

juu ya kua sijui hizo sheria lakini ukimfanyia foul mchezaji ndani ya uwanja hata kama atakua hana mpira hiyo ni foul la pili jardi alba alikua yuko katika harakati za kwenda kumkabili robben muler akamsukuma kwa iyo hiyo sio ofside umejifunza wapi sheria za mpira mkuu au wee nawe ndio mshabiki wa man u kwa vile barca kafungwa umefurahi manaake leo mashabiki wa man u real madrid ac milan na wa psg na wa celtic na hata wa chelsea wamefurahi kwa barca kufungwa.ila wasije kununa barca kuja kufanya maajabu ya mwaka ya kumpiga 5-0 bayern pale camp nou. Najua wingi wataona kama haiwezekani vile ila hivyo ndivyo ilivyo .
 
usiwe mshabiki bila ya kuzijua sheria.....huyo mchezaji aliyefanyiwa foul alifanyiwa na mchezaji ambaye hakuwa na mpra....yaani waligongana kiasi ambacho hakikuathiri juhudi za kuokoa mprira ndo maana refa hakupiga filimbi. Lakini kama roben aliyekuwa na mpria ndo angemwangusha mkabaji lazima faulo ingepigwa against bayen.

juu ya kua sijui hizo sheria lakini ukimfanyia foul mchezaji ndani ya uwanja hata kama atakua hana mpira hiyo ni foul la pili jardi alba alikua yuko katika harakati za kwenda kumkabili robben muler akamsukuma kwa iyo hiyo sio foul umejifunza wapi sheria za mpira mkuu au wee nawe ndio mshabiki wa man u kwa vile barca kafungwa umefurahi manaake leo mashabiki wa man u real madrid ac milan na wa psg na wa celtic na hata wa chelsea wamefurahi kwa barca kufungwa.ila wasije kununa barca kuja kufanya maajabu ya mwaka ya kumpiga 5-0 bayern pale camp nou. Najua wingi wataona kama haiwezekani vile ila hivyo ndivyo ilivyo .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom