Usijali kaka,kawaida Bayern kwao sijui wanatumia madawa ya kuongeza nguvu,ila usikonde,in Barcelona we trust,niamini,tunafanya mauaji ya kimbari Nou Camp,ndio timu isiyo na ugonjwa wa moyo hii,nawapa 52% Barca wanapita kwenda final,amini usiamini,subiri tarehe 2 ntakuja,najua maadui wanafurahi ila watasema mchana na usiku hiyo tarehe 1 au 2 watalala.Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.