Baraza langu la Mawaziri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uchaguzi 2025

Baraza langu la Mawaziri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uchaguzi 2025

Km Mkumbo amekupa Pesa ili umpigie promo, bas rudisha mapemaa, usije sema hukuambiwa.

Utalipa, ambavyo havilipiki. Kaa kimastaa, Lol
Kuna ambacho hakilipiki au atalipa atakachokuwa nacho, kwan kuna shda kama hela ya watu kala.
 
Kassim Majaliwa mwamba yule Mungu atutunzie hii dhahabu.
 
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa

1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni - Prof Palamagamba
7 Antony Mavunde - Madini
8. Lukuvi arudishwe ardhi
9 Nishati - Januari Makamba
10.Ulega abakie - Ujenzi
11. Paulo Makonda - Mambo ya Ndani
12. Mawasiliano - Prof Makame
13. Mambo ya Nje aendelee huyu wa sasa
14.Albert Chalamila - Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
15 Waziri wa Sheria atafutwe mwingine

Kikosi hiki hata Barcelona anakufa
Watanzania tupo 60+ml hakuna hata mmoja aliye nje ya mfumo uliyemuona?
 
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa

1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni - Prof Palamagamba
7 Antony Mavunde - Madini
8. Lukuvi arudishwe ardhi
9 Nishati - Januari Makamba
10.Ulega abakie - Ujenzi
11. Paulo Makonda - Mambo ya Ndani
12. Mawasiliano - Prof Makame
13. Mambo ya Nje aendelee huyu wa sasa
14.Albert Chalamila - Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
15 Waziri wa Sheria atafutwe mwingine

Kikosi hiki hata Barcelona anakufa
1. George Simbachawene?
2. Jenista Mhagama?
3. Nape Nnauye?
4. Mwingulu Nchemba?
5. Riziwani Chikwete?
6. Jerry Slaa?
Hawa kama Bi Chura akirudi kitini naona hujawataja wakati ni ni km pete na kidole
 
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa

1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni - Prof Palamagamba
7 Antony Mavunde - Madini
8. Lukuvi arudishwe ardhi
9 Nishati - Januari Makamba
10.Ulega abakie - Ujenzi
11. Paulo Makonda - Mambo ya Ndani
12. Mawasiliano - Prof Makame
13. Mambo ya Nje aendelee huyu wa sasa
14.Albert Chalamila - Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
15 Waziri wa Sheria atafutwe mwingine

Kikosi hiki hata Barcelona anakufa
Hv mtu aliyefeli shule Kama makonda unampa wizara upuuzi..

January so tuliambiwa hafai,?
 
Back
Top Bottom