Baraza la Wanawake CHADEMA: Lilian Wassira, Sophia Mwakagenda & Rachel Mashishanga...

liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira

Umasahau kuwa sreven wasira alikuwa mbunge wa nccr
 
liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira

hakuna mjinga kama we we duniani. Tokea lini ccm inalipia watu ada?
 
Namuunga mkono mama mwakagenda yuko vizuri, kimsingi namkubali, ingawaje wote wako vizuri lakini mshindi lazima awe mmoja.
 
Wasira Lilian hata Mimi ningemchagua kama ningeweza.She is such an awesome debater and mobilizer!
 
liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira
Haiwezi kuwa hoja ya msingi
 
Tunamtaka mtu anayeweza kuifufua Bawacha maana ina nafasi kubwa sana kuwahamasisha wanawake. Naona Wasira ana uwezo mkubwa wa kufanya kazi hiyo muhimu
 
liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira
.

hujieleewi wewe gamba,ccm haijawahi kufanya hayo kwa Tanzania yeyote zadi ya kuiba raslimali zetu kwa ushirikiano na wageni hasa wachina
 
wanafunzi wa vyuo vikuu nani anawapa mikopo ya fedha kama sio serikali ya ccm,pimbi wewe kweli una ufahamu mdogo wa kuelewa mambo
hawa ni wale wanaosema ccm ni baba na mama yangu kumsaliti ccm ni sawa na kuwasaliti wazazi. Hayo ni mawazo ya kizee
 
.

hujieleewi wewe gamba,ccm haijawahi kufanya hayo kwa Tanzania yeyote zadi ya kuiba raslimali zetu kwa ushirikiano na wageni hasa wachina

gamba ndio nini wewe pimbi,unajua id yangu hapo juu au huoni,kubali au ukatae wewe umepewa mkopo na serikali ya ccm,au unataka kusema ni chadema
 
Back
Top Bottom