Baraza la Wanawake CHADEMA: Lilian Wassira, Sophia Mwakagenda & Rachel Mashishanga...

wewe na wewe nawe ni kiazi mwingine ambaye hutambui kwa serikali ya ccm ndio imekamata dola,unataka kuwaaminisha wananchi kuwa sio ccm yenye dola na maamuzi ya mwisho yanafanywa na ccm

Ccm imeajiriwa na wananch iko hpo kama mtumwa kwa bos wake haina serikali
We toka lin meneja mkuu wa crdb bank akawa ndo mwenye bank unaona jinsi unavozid kuonyesha BRN isivyofaa ktk taifa letu.CCM n waajiriwa wa wananch ktk serikal ya wananch
Na leo nina kaz ya kukutoa ucngzn du! Sijui nitumie vboko?
 
liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira
Hata baba yake huyo wasira Alisha ondoka ccm akaenda nccr, ulafi na ufisadi ndio umemrudisha ccm. mtoto kajitambua, kajua kweli itamuweka huru. Hivi kama baba yako alikua jambazi ukasoma na kula vizuri ukikua na wewe lazima uwe jambazi?
 
mfano wako umekaa kinguvu za giza.jifunze kutoa mfano mzuri wewe dogo
 
Hakunaga kama Mama Mwakagenda hakuna anayemtosha hapo.

Hakunaga kama Mama Mwakagenda wakati kapigwa chini na mdada mgeni kabisa kwenye siasa alipogombea
BAWACHA kata,akaambulia kura ya kwake tu!!
 
Wao watatuongoza tuu wanatafuta njia ya kuingia kwenye bunge nyie shabikien mm mkulima cjui ntaingiaje mjengon
 
liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira
Huyo Babake ni NCCR, huko CCM ni maslahi zaidi.
 
Back
Top Bottom