Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

Paper hata zinapovuja bado zinawanufaisha walio na uwezo.Wenye uwezo mdogo hata wakiwa na majibu kwenye chumba cha mtihanı huwa hawawezi bado japo watasogea.Zaidi mitıhani ya huonekana wazi wakati wa kusahıhisha kuwa wameibia ama hukamatwa kwenye mitihani kwa kutojiaminı.Bado hata inapovuja mitihani haiwasaidii sana wasio wazuri.
​Okay,issue kubwa hapa ni KUVUJA
 
Wivu huo.Maswali kutoka kwa wanafunzi wa Tusiime kvp?Ina mwanao alikuwa akitumiwa maswali na wanafunzi wote wa Tusıime au hapo shuleni kwao wenzake nao pia wana marafiki Tusiime?Mtihani wa NECTA format yake ilivyo inawawezesha walimu na wanafunzi makini kuprobe maswali ya mtihani na hilo si kosa na ndıyo maana mwanao amekuambia mengne hayakuwa halisi.

hata mimi dogo alinItumia maswali ya Geography kwa bahati mbaya alikuwa anamtumia mwenzie...nikamuulize umeyatoa wapi akasema kuna rafiki yangu yuko Tusiime kanitumia..ila sikuyafuatilia kama maswali yalitoka au....
 
Watu wanamponda mtoa mada wakati ana hoja ya msingi.Kuibiwa mkitihani ni janga la kielimu wandugu!
Wahusika wa mPM jamaa kupitia mtoto wake wafatilie namba za simu iliyotumika kutuma mtihani,mambo yaanzie hapo hadi huo mtandao ujulikane na kuchukuliwa hatua stahiki.
Acheni kufanya mzaha kwenye Elimu

we jitu lilipita kwa kuibia mitihani unategemea nini?atamponda tu mleta mada..
 
Back
Top Bottom