Mheshimiwa Mchunguzi Huru, mimi sina maslahi yoyote kwenye huu mjadala.Km wewe ni mkweli na ukawa umebahatika kwenda shule ya sekondari japo mpaka advance hauwezi bisha kwamba wanaofaulu vizuri O'level, wengi wao ndo hujitokeza kufanya vizuri hata A'level.Chukulia darasa lako kama mfano.Hao Marian,Feza,Cannosa n.k, siwapi sifa kwamba wanajua kufundisha sana lah, hawa wanachuku wale watoto waliokuwa wazuri shule za msingi na ambao hapo nyuma walizoeleka kupangiwa shule za vipaji maalum kwa lugha ya serikalı.
Nı kazi rahisi kidogo kuwafanya watoto hawa wafaulu mtihani wa kidato cha 4.Vılevıle hawa watoto wanakuwa wametoka shule tofautitofauti zikiwemo za umma na binafsı.Km unataka kujiridhisha, ebu panga ziara,tembelea şhule ya Feza ama Marian, na ukiweza omba uingie darasani na ushuhudia mwalimu anafundisha na ushiriki wa wanafunzi kwenye somo husika.
Angalia mitıhani ya wanafunzi walıofanya na kusahihishwa, angalia maktaba ya shule,maabara, Geography room na ıdara za masomo yote, angalıa wasifu wa walimu na manejiment ya shule hzo then tuletee feedback.Sikatai ırregularities zipo kwenye mitihani lakn not that much big.Chunguza vyuo vikuu vyote na utuletee taarifa kuwa wengi wanaoibuka vinara wa kuwa na GPA kubwa, ufaulu ulikuwaje Advance.Wachache utawakuta walikuwa na div 3 au usiwapate kabisa.