Vumilieni jamani kidogo Sangoma wafaidi kwanza.
unamanisha wale wanaofukuzia nafasi hizi kwa sasa wapo kwa kalumanzila ?
Vumilieni jamani kidogo Sangoma wafaidi kwanza.
Uko sawa kabisa mkuu!Chezeya ulaji weye!unamanisha wale wanaofukuzia nafasi hizi kwa sasa wapo kwa kalumanzila ?
yeah I second you
Wee jaluo mambo mazuri hayataki haraka,ukiletewa wasiofaa utaanza majungu.
Achen amalize harusi ya miraji kwanza leo,thn mtatangaziwaa..
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
Yuko busy na harusi ya miraji
Yuko busy na harusi ya miraji
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
mkuu mi ndio naelekea kwnye mkesha? Vipi utakuwepo?
Hapo mkuu ndo utaona kuwa sera za CDM zinatekelezeka,walishasema siku nyingi kuwa hakuna umuhimu wa manaibu waziriJamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu