mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,705
- 7,214
kumbe kelele zote zile jamvini ni kwa sababu ya kuwahi ubani wa harusi!
kelele zipi ndugu yangu, mimi mbona sijapiga kelele zozote. Utakuwa umekosea ndgu yangu
kumbe kelele zote zile jamvini ni kwa sababu ya kuwahi ubani wa harusi!
Naskia ukiwahonga tiss shilingi kadhaa unateuliwa kuwa waziri.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wizara ya michezo apelekwe magufuri ili afufue michezo yote iliyokufa kama Ndiondi Riadha mpira wa mikono Pete na kikapuVuta subira,rais akitangaza baraza la mawazir si itasikika tu?kwani atafanya siri?wewe haraka ya nini?:boxing:.
Mkuu bongo hii au wapi hiyo
Dadangu mi ni division five. Muwe mnatumiaga kiswahili maana. .yeah I second you
Kwani Tiss ipo wapi kwengine?
mkuuMbona Baraza la Mawaziri lipo? au did I miss something...?