Hata idadi wabunge ipunguzwe wabaki 2 gender kila mkoa yatosha.Kama nchi inaenda Basi haina shida..
Acha waziri mkuu Aendelee kushirikiana na makatibu wa wizara kusukuma grudumu.
Hata matumizi yamepungua.
Halafu akiteua utakuja kusifia!Kama nchi inaenda Basi haina shida..
Acha waziri mkuu Aendelee kushirikiana na makatibu wa wizara kusukuma grudumu.
Hata matumizi yamepungua.
Na me pia namuombea jamaa ang'are tena, kuna nyumbu zitajutaMakonda mi4 tena!!!
Ulimsikiliza wakati anamuapisha waziri mkuu?Kuna jambo sio la kawaida linaendelea kwa sasa. Baraza la mawaziri kwa serikali yeyote ndio timu ya nchi katika utawala na chombo muhimu sana katika maendeleo ya nchi.
Lakini jambo la ajabu ni kuwa baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020 ambao wengi wameuita uchafuzi Mkuu Rais JPM amechukua zaidi ya wiki tatu hajataja baraza lake na tofauti na zamani jambo hilo lilipokuwa la muhimu, sasa hivi hakuna hata mwenye kufuatilia au kushauri nani awe nani katika baraza.
Jee kukosekana msisimko huo ni ishara kuwa baraza chini ya JPM huwa ni muhuri tuu? Au ni upotevu wa pesa kwani hata wasipokuwepo hakuna tofauti?
Had wewe umeliandikia uzi, ujue linafuatiliwaKuna jambo sio la kawaida linaendelea kwa sasa. Baraza la mawaziri kwa serikali yeyote ndio timu ya nchi katika utawala na chombo muhimu sana katika maendeleo ya nchi.
Lakini jambo la ajabu ni kuwa baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020 ambao wengi wameuita uchafuzi Mkuu Rais JPM amechukua zaidi ya wiki tatu hajataja baraza lake na tofauti na zamani jambo hilo lilipokuwa la muhimu, sasa hivi hakuna hata mwenye kufuatilia au kushauri nani awe nani katika baraza.
Jee kukosekana msisimko huo ni ishara kuwa baraza chini ya JPM huwa ni muhuri tuu? Au ni upotevu wa pesa kwani hata wasipokuwepo hakuna tofauti?
Makatibu wakuu wanatoshaNinavyosemaga hapa kuwa Watanzania ni magoigoi huwa sitanii.Nakuhakikishia hata kama Magufuli ataendesha hii nchi kwa mwaka mzima bila baraza la mawaziri wala hutasikia chochote kutoka kwa wananchi.Yaani wananchi kwao kila kitu ni sawa tu,kiwe kina manufaa kwa nchi,kiwe hakina manufaa kwa nchi au kiwe cha kuliangamiza Taifa.Ni magoigoi haswa!