Elections 2010 Baraza la mawaziri la Dr slaa

Katiba ya tz inasema waziri mkuu atatokana na wabunge..hivyo mhe. Mbowe atakuwa na sifa ya kuwa waziri mkuu wa rais slaa.
 
Mzimu wa marehemu Chacha Wangwe kuitafuna chadema...Mbowe hawezi kuwa Waziri Mkuu sababu ya Hayati Chacha..Ila Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa jimbo la Uchaguzi
 
jf, hivi tunazungumza uchaguzi kama referendum ya serikali ya ccm ambayo ni sahihi katika demokrasia ambayo incumbent anaomba ridhaa kuendeleza mambo aliyoanzisha kwa kipindi kingine.

Chadema, chama kikuu cha upinzani tz kikipewa ridhaa ya kuongoza sisi wa watz lazima kitakuwa na serikali yake ambayo itakuwa na viongozi makada wa chama hicho wenye ushawishi..mwenyekiti wa chadema,ambaye anatarajiwa kuwa mbunge wa hai, mhe. Freeman aikaeli mbowe, ndio atategemewa kuwa waziri mkuu wa 12 wa jamhuri ya muungano wa tanzania, chini ya rais wa awamu ya tano wa tanzania, mhe. Dk. Wilbrod peter slaa..

Je, nafasi ya waziri mkuu mteule, mhe. Aikaeli mbowe (mbunge wa hai) katika serikali ya rais dr. Slaa inachukuliwaje, mbowe kumrithi pinda uongozi wa serikali ijayo kunawezekana?

ndoto za alinacha ..
 
Hivi ningependekeza mawaziri kama alivyo pendekeza executive hapo mngesema ni kutata mbeleko kabla ya mtoto kuzaliwa? mngesema nimetumwa? mngesema tumefanya uchaguzi wa ndani kabla na nimetumwa hapa kuwahadaa?

Nimesema kua nasapot CHADEMA kwa akili na nguvu zangu na ninapo doubt juu ya weakness zetu lazma nijiandae kwa jinsi ya kukabili changamoto ztokananzo na weakness hzo. CC wabongo hatuwez kweli ku interpret mambo in positive.

Asante eXECUTIVE na wengine kwa ideas zenu.

CHADEMA for TZ, Dr SLAA for Presidency.
 
Hizi ambazo ziko kwenye red, are you serious????????? Cheyo, do you really know him??? Huyu ni tapeli kuliko hata hao CCM tuanotaka kuwatoa. Mtikila... too confrotational and too contraversial



It's probably worth considering to be a more considerate person
 
kwa taarifa yako chadema mwaka huu watapata viti zaid ya 105. sasa sijui baraza la mawaziri linahitaji wazid hiyo idad au vipi!!!!

mijitu mingine bana!!!!!!1
 
Nakuhakikishia Chadema itakuwa na mawaziri wengi tu Bungini cha msingi tusubiri kupiga kura. Kura kwa CHADEMA VEMA.
 
Ni nani kakwambia Chadema kuwa na wabunge wachache? Kwa tathmini yangu Chadema itapata viti 106 vya ubunge hivyo ni vichache? Kumbuka katiba yamruhusu Dr. Slaa kuteua wabunge wengine kumi ili wamsaidie kazi. Na baraza lake la mawaziri litakuwa na wajumbe wasiozidi 22.

Hilo sio eneo la kupasua kichwa.
 
Ni mapema mno,lakini mawaziri wangetoka nje ya bunge ingekuwa bora zaidi.
 
Ni nani kakwambia Chadema kuwa na wabunge wachache? Kwa tathmini yangu Chadema itapata viti 106 vya ubunge hivyo ni vichache? Kumbuka katiba yamruhusu Dr. Slaa kuteua wabunge wengine kumi ili wamsaidie kazi. Na baraza lake la mawaziri litakuwa na wajumbe wasiozidi 22.

Hilo sio eneo la kupasua kichwa.

Hivi kweli mnaamini haya ama ndio strategy za uchaguzi??? I mean from 11 MPs to 106........ leverages...only Anti Kikwete wave??? Guys, ur a dealing with the most rooted, most funded, most institutionalized political cum electoral machinery in Africa - CCM. Still hatujaongelea nguvu zingine.....

Lets hope watafika angalao 25 to 30......
 
JF, Hivi Tunazungumza Uchaguzi kama Referendum ya Serikali ya CCM ambayo ni sahihi katika demokrasia ambayo Incumbent anaomba ridhaa kuendeleza mambo aliyoanzisha Kwa kipindi kingine.

CHADEMA, Chama kikuu cha Upinzani Tz kikipewa ridhaa ya Kuongoza sisi wa WaTZ lazima kitakuwa na Serikali yake ambayo itakuwa na viongozi makada wa Chama Hicho wenye ushawishi..Mwenyekiti wa CHADEMA,ambaye anatarajiwa kuwa Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, ndio atategemewa kuwa WAZIRI MKUU WA 12 wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, chini ya RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA, MHE. DK. WILBROD PETER SLAA..

Je, NAFASI YA WAZIRI MKUU MTEULE, MHE. AIKAELI MBOWE (MBUNGE WA HAI) KATIKA SERIKALI YA RAIS DR. SLAA INACHUKULIWAJE, MBOWE KUMRITHI PINDA UONGOZI WA SERIKALI IJAYO KUNAWEZEKANA?

kwani kuna ulazima wowote mbowe ndio awe waziri mkuu?, hata akiwa as long as anatekeleza sera za chama haina shida..
 
Hivi unadhani Dr. na wenzake ni vichaa? acha hizo wewe. Baraza litakuwa dogo, la kijanja lenye mawaziri wasomi wenye taaluma zinazolandana na wizara watakazoongoza. Ni wakati wa ukombozi si kupeana uwaziri kwa ushemeji.
 
Back
Top Bottom