Baraza kuu la UWT Wilaya ya Same lampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumtunuku cheti Cha Pongezi kwa kazi nzuri anazofanya kwa wanachi huku wakimpongeza kwa kuteuliwa Kuwa Mgombea Pekee wa Nafasi ya Urais na kumuahadi kuendelea kusema Yale mazuri yote aliyofanya ndani ya kipindi Cha Serikari yake.
View attachment 3243631
Cheti hicho cha Pongezi kimepokelewa na katibu wa CCM Wilaya ya Comrade Amos kusakula
View attachment 3243633