Baraza Kuu la CHADEMA lakutana Mlimani City

Kusema ukweli, ktk kipindi hiki kwa Chadema kumpa uenyekiti mtu mwingine zaidi ya Mbowe watakuwa wanacheza kamari na kuna uwezekamo mkubwa wa kupoteza nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Kwa hali ya sasa ya kisiasa nchini, Chadema wanamhitaji zaidi Mbowe kuliko wakati mwingine wowote tangu mfumo wa vyama vingi uanze.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati jiji la Darikiendelea kuwa kwenye tishio la kumezwa na maji tayari viongozi wa cdm wapo kwenye kikao kizito kwa ajili ya kuipanga safu ya uongozi makini utakao tafuta muarobaini wa tatizo la mafuriko hapa jijini dsm mara tutakapo ingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2020.

Hii nchi inahitaji kufanyiwa overhaul kuanzia kwenye mipango miji.










 
Mmoja wa wajumbe wa baraza kuu Mh Nyalandu akishangilia hoja za Mwenyekiti

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…