Hivi ni maagano nini mbona naskia diamond kawala wenzie akiwemo Romy. Pia alikiba unaambiwa hagusi mbele ni jicho tu .Harmonize mpaka leo hasemi tatizo nn ila wajuzi wanasema yale mathreesome yao kuna walakin .rayvan ndo sijamsikia kwa maskendo .
Kama sio hali ya ulimbuken wa mitandao au kuiga mastaa wa nje .Hawa nadhan ni maagano ya kichawi ukimuangalia mboso nae ana walakini kalegea mno ravalava ndo simuelew.