Baraka Da prince aumbuliwa vibaya studio na msanii aliyemuibia nyimbo

Niliona jana walivyokuwa wanatupiana maneno EATV redio

Yaani ilikuwa aibu kwa Baraka kwani anataka kuondoka kabisa mara anasimama!

(EATV RADIO!!!!) REDIO YA NCHI GANI HIYO!?, HIYO SIO RADIO YA NCHI HII! LABDA UTUAMBIE NI YA NCHI GANI HIYO!? HAPA TUNA (EA RADIO TU)!
 
Dogo ana matukio mabaya mengi, kamtukana msami, suma mnazaleti, kamfukuza mdogo wake home Sinza kwake akidai dogo mwizi,. naweza kusema wenge la u superstar linamzingua mdogo wetu.
Acha uongo ni lini huyo mjaluo aliwahi kuwa super star?
 
Sasa huyo aliebiwa nyimbo alikuwa wapi siku zote hizo?!

Tutamuamini vipi?!

Ana Wimbo wowote mwingine tuusikie ili tujiridhishe kuwa ni mkweli?!
 
....sasa na wewe mama ntilie,hizi stori zinahusiana nini na uzi;ndo tuone unamjua sana,ama?
..nyie misukuma mtaacha lini usoro!??
We boya home tunamiliki cafeteria kali tu na dogo tumempa sana kiki kitaa ila ananata na anajichukua sana anajiona kama yeye ndo mnyamwezi zaidi ya Fabulous au Trey...! Karma is the bitch mchizi hajafanya fair kwa mwana that's why nimemkazia.

Sometime tunaexposes mitkasi yake negative kama hii ili ajue haya maisha tu! Muhimu Ubuntu.

Huyo Michale Jackson mwenyewe kwenye ubora wake nisingemletea shobo za kumjua ije kuwa huyu Cheusi mangala...! No way no!

Kama ndo yeye wewe unatumia ID hii..kitaa tumekumind sana tu.
 
Ishu ni kwamba sio ujanja kumkataa mtu ulietoka nae mbali na swala la nyimbo dogo amesema kua ni yake baraka aliimba wala ataki kiki ni jambo dogo tu kwa baraka kukubali basi ila kubisha kwake ndo imefanya iwe kiki kwa dogo ila dogo wala ajataka kiki amesema wapige simu tano kwa wanaojua ukwel uko kwao mbona baraka ajakubali kuna ukwel ni kitu cha kawaida tu mbona
 
Hata Diamond kaiba nyimbo ya My number one kutoka kwa Omy Dimpo. Roho mbaya tu yule ndio maana kazaliwa Tandale.
 
Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa hiyo nyimbo sio ya kwake

Hujaeleweka ulichokiandika edit tusome tena
 
Niliona jana walivyokuwa wanatupiana maneno EA redio

Yaani ilikuwa aibu kwa Baraka kwani anataka kuondoka kabisa mara anasimama ila anakalishwa kwa nguvu. Daah
Mkuu umeona EA Radio? hiyo channel inapatikana king'amuzi gani
 
Nyimbo ya 2010 inajadiliwa 2016.. huyu dullar lengo lake amdhalilishe barakakiba nini?
we na wew acha umchicha pori huo....hiyo 2010 baraka bado anachunga ngombe mwanza huko afu ww unaitajataja kirahisi tu et....nyimbo ya mwaka jana mwanzoni hiyo.
 
We boya home tunamiliki cafeteria kali tu na dogo tumempa sana kiki kitaa ila ananata na anajichukua sana anajiona kama yeye ndo mnyamwezi zaidi ya Fabulous au Trey...! Karma is the bitch mchizi hajafanya fair kwa mwana that's why nimemkazia.

Sometime tunaexposes mitkasi yake negative kama hii ili ajue haya maisha tu! Muhimu Ubuntu.

Huyo Michale Jackson mwenyewe kwenye ubora wake nisingemletea shobo za kumjua ije kuwa huyu Cheusi mangala...! No way no!

Kama ndo yeye wewe unatumia ID hii..kitaa tumekumind sana tu.
...teh hee hee..,umejitutumua mwenyewe kuandika 'kinyamwezi';misukuma bhana!
...poa boya,ntapita kula makoko hapo cafeteria na mimi!
 
...teh hee hee..,umejitutumua mwenyewe kuandika 'kinyamwezi';misukuma bhana!
...poa boya,ntapita kula makoko hapo cafeteria na mimi!
We jamaa ni limbukeni kishenzi..yaani from nowhere tu unakuja kudiss wanaume au unataka kamisheni nini kwa Baraka? Kwa taarifa yako dogo tunamjua ni bahili dunia nzima...hupati hata shekeli.

Matter of fact, sio kila anaekaa mwanza ni msukuma mi natoka Litembo, Ruvuma. So acha kuwatukana na kuwadiss wasukuma that's ignorant kustick kwenye kabila la watu wasio na hatia abt this shiit! Still ni ulimbukeni na upunguani.

Yeaah! Tuna cafeteria pale home njoo tutakupa tu hayo makoko ila make sure u've good heart and humble vinginevyo ukileta ngebe na majivuno wewe ndo utaiona picha yako kabisa humu au Global publisher...blalifuli!

Kwanza kwa uhandishi wa tuandishi twako huto twa kiboya kuna uwezekano nabishana na mraibu wa madawa ya kulevya au Mdogo wake na Cameroon.

You sound imbecilic and ignorant.
 
....ha ha ha ha....'mnyamwezi' huyo,'kidhungu' kingiiiii;yunoworaamsei meeeen!!
....ha ha ha
 
Back
Top Bottom