Baraka Da prince aumbuliwa vibaya studio na msanii aliyemuibia nyimbo

"Don't argue with the fool because they will take you into their level of ignorance and beat you with experiences"
.....ha ha ha.,dadeki!...'mnyamwezi' kavunja yai viza tupu,hataki kuchanganya na kimatumbi blalbasket!
..kweli mkiwa na cafeteria home hadi watu wanakula makoko lazima ung'eng'e upande!
.tisha sana;ha ha ha!
 
Unajua maandishi ya mtu yanazungumza vitu vingi saana juu ya mtu huyo...maandishi yako yanaashiria akili yako ni fupi kama maisha ya funza.

Makoko tunawauzia wale bure cafeteria ya baba yao?

Na ukiendelea kuchonga ngenga natandika yai mwanzo mwisho....Ahaha! Afu tuone sasa!
 
.....ha ha ha ha...nithamehe thana bradha mnyamwedhi;mi nna aleji na kidhungu;
..na kwani ulin'thomesha??
...
 
.....ha ha ha ha...nithamehe thana bradha mnyamwedhi;mi nna aleji na kidhungu;
..na kwani ulin'thomesha??
...
Hivi huyu mkuu aliulizwa kwao kuna nini?maana kuanza kusema kwao kuna cafeteria huo ni utoto kulingishiana kwetu tumepika wali je kwenu mme pika nini
 
Na wewe hupishani na huyo mama ntilie sasa usukuma umeingiliana je hapo kama sio ukokoro
....unaniangusha ujue.,kwamba we hujui misukuma ni mishamba ama maksudi tu unaleta
Hivi huyu mkuu aliulizwa kwao kuna nini?maana kuanza kusema kwao kuna cafeteria huo ni utoto kulingishiana kwetu tumepika wali je kwenu mme pika nini
....ha ha ha..we muache mnyamwezi,akianza kidhungu hapa usikimbie;
..mwenyewe nimeomba msamaha dadeki!
 
Baraka sijui anashida gani yaani boya sio boya... Afu ni bingwa mzuri wa kukana mambo
 
Kumbe Tanzania kuna wasanii washamba na malimbukeni usanii sio kuvaa nguo nzuri, kutia mbwembwe na ung'eng'e kwenye kuongea , kutoka na wasichana wazuri, ama kuposti picha unaenda wapi upo na nani ama unakula nini
Dhana nzima ya kuwa MSANII na kujishughulisha na SANAA bado hawaijui na hawataijua ndio sababu usanii bongo upo kwenye vijimaneno, tambo nyingi na kashikashi za hapa na pale baina yao wenyewe
nadani msanii bora ni yule kwanza anayeweza kucontrol emotion zake ndiyo mengine yafuate yanaohusiana huo usanii wao wanaoujua wenyewe

Wakuitwa baraka sijui anajiita prince siyo kwa usukuma huo, sijui kiba iwe baki, domo mara dangote lakini sio ALIKO na wengine fanyeni usanii kama dhana yake inavyojieleza
 
Back
Top Bottom