Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,422
Halafu hawa hawa Waisrael ndio baadhi ya Watanzania wanawapapatikia kuwa ni "taifa la mungu". bs.
Duh Nimecheka Mkuu Umesema bila kuacha Uongo...:biggrin:Utawezaje kurudisha balozi wako toka Israel wakati unategemea Israel wakupe msaada kwa kilimo cha umwagiliaji kwenye nchi yako mwenyewe?
Pia unategemea Israel wakupe magari mawili matatu kwa bei ya kutupa kwa jeshi lako ili uonyeshe raia wako pale uwanja wa taifa kuwa jeshi liko ngangari kupasua mawe kwa vichwa kama Van damme na swazinigga ( Schwarzenegger) lakini yakitokea mafuriko jamaa wanaingia mitini na kuwaachia wavuvi wa Ferry...🙂..
Mkuu upo ok? au ndio Mwezi Mchanga?Zamani nikiwa mdogo nilikuwa naaambiwa Tanzania ni ya pili kwa masuala ya upepelezi (intelijensia) nyuma ya Israel. Sasa ni zaidi ya miaka 25, bila shaka tulishaipita Israel siku nyingi sasa hivi sisi ni kwanza. Nadhani ndo maana huyu bwana anatuone wivu kwa kujaribu kutu ...debase...........Hata hivyo hapati kitu sisi tuko juu awaulize Amin na Uganda........................
[TABLE="width: 491"]
[TR="bgcolor: #e1e1e1"]
[TD]Ehud Barak , waziri wa ulinzi wa Israel, ... waziri huyo asiye na heshima alipokuwa anahimiza Waisraeli wajishughulishe na nchi za Ulaya na kuzipuuza nchi za Kiafrika.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]... ametolea mfano wa nchi zisizo na maana kuwa ni Tanzania, Mouritania na Tripolitania.
...msimamizi wa ubalozi mdogo wa Tanzania nchini Israel, Bwana Altzanzy Noraal, kwa niaba ya serikali makini ya Tanzania, amepeleka barua rasmi ya malalamiko dhidi ya kebehi za Ehud Barak. Katika nakala za barua hiyo ambayo NIFAHAMISHE imebahatika kuona nakala yake, Mheshimiwa Altzanzy Noraal ameitaka serikali ya Israel ilaani vikali kauli za waziri Ehud.
... Ehud ameamua kuidhalilisha Tanzania kwa kuifagilia Ulaya kiasi cha kuifanananisha Tanzania na nchi isiyokuwepo duniani, akimaanisha ile Tripolitania.
Noraal aliwahabarisha Waisrael kuwa Tanzania ni nchi kubwa kuliko zote za Afrika Mashariki ikiwa na idadi ya watu kama milioni 46. Huku akiikumbusha Israel uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Israel kiuchumi na kiusalama. "Tanzania ni nchi muhimu sana wala haipaswi kupuuzwa" amesema Bw. Noraal. "Nitafurahi sana nitakapotembelea Tanzania nikiwa na mwakilishi wa Israel ili aone uzuri wa Tanzania nchi yenye eneo kubwa na mazingira halisia na watu wanaopenda amani" amesisitiza kwa kuwakejeli kisiasa kwa namna wanavyopenda vita na Warabu kila kukicha.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ni kweli walichosema Israel. We hebu ichunguze Tanzania vizuri bila bias, utaona ilivyo hovyo.
.................. hapo bold (red) unaweza kufafanua zaidi ? .................. yaaani kuonyesha kwa ushahidi jinsi yalivyonufaika, haswa Saudia, Indonesia !Acha tutukanwe Tanzania tumezidi upumbavu inakuwaje hawa waisrael watujengee UDSM, Bugando Hospital na taasisi mbalimbali pia kutoa mafunzo ya kijeshi kwa jeshi letu makanda wetu kama Luteni Jenerali Imran Kombe, Luteni Jenerali Silas Mayunga, Meja Jenerali Muhdini Kimario na wengine walipata mafunzo ya kijeshi Israel lakini tuliamua kuachana na Israel ili tujiunge na upande wa wapalestina wanaonyanyaswa na Israel tukidhania wapestina ni ndugu zetu na tunawalilia wajikomboe lakini matokeo yake wapestina hawatuthamini na wala hawatupi heshima inayostahili kwa kuwaunga mkono sisi na kujikuta tunapoteza manufaa mbalimbali kwa kuwa na urafiki na Israel.
Angalia Rais wa kwanza wa Tanzania aliyewapigania wapalestina alipofariki wapalestina hawakutuma ujumbe wowote wa juu ukiachilia Yasser Arafat mwenyewe kutohudhuria tulitegemea watu kama Mahmoud Dahlan, Ahmed Qurei, Sakri Habashi, Salim al-Zaanoun, Mahamoud Abbas au Saeeb Erakat mmoja wapo ahudhurie lakina hakuna isipokuwa balozi wa Palestina nchini Tanzania ndiye aliyehudhuria lakini wakati alipofariki Mfalme Hussein wa Jordan na Rais Hafidh Assad wa Syria ujumbe wa Palestina ulijazana kwenye mazishi kama njugu ndio nikagundua hawa jamaa hujali zaidi undugu wa kiarabu na sio undugu katika mapambano toka siku hiyo siwaoni wa maana tena, na kuwa upande wao Tanzania tunapoteza zaidi kuliko kupata manufaa nchi kibao na mataifa ya kiaarabu na kiislamu kama Mauritania, Niger, Misri, Jordan, Saud Arabia, Uturuki, Indonesia, Malaysia yana uhusiano wa karibu na Israel na yanafaidi kwanini sisi tujitenge na Israel kwa ajili ya watu wasio tunathamini matokeo yake tunaishia kuwa losers?
Kama haitoshi alipofariki Waziri Mkuu wa Israel Yizhaki Rabin bado wapalestina walituma ujumbe wa juu wa watu watatu sasa kama mtesaji wenu anafariki mnatuma ujumbe wa juu? kwanini anayewatetea anapofariki msitume ujumbe wa juu? lipi bora? jjbu hamthaminiki kivile kwa mnaowatetea.
Dharau hii kwa Tanzania pamoja na kutokubalika inaoenyesha kushuka kwa umahiri wa viongozi wetu katika suala la Foreign Policy.
Photo by: Ariel Harmoni / Defense MinistryBy GIL HOFFMAN
12/27/2011 19:21
Refuses to apologize to African country after it protests being called "irrelevant."
Defense Minister Ehud Barak has declined to apologize to Tanzania, despite a letter from the African country protesting a Barak statement that its representatives in Israel found offensive, a Barak associate said Tuesday.
In an interview with Israel Radio's Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized theForeign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France, and Germany irrelevant.
"Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya]," said Barak, noting places whose names rhyme with England in Hebrew. "These are very important, very relevant countries and we don't have an interest in increasing tensions with them or making them bitter enemies."
Tanzania's honorary consul in Israel, Kasbian Nuriel Chirich, wrote a letter to ForeignMinister Avigdor Lieberman condemning Barak's remarks and inviting a representative of Israel to visit his country.
In this effort to praise theimportance of key countries in Europe, he chose to put down Tanzania and compare it to a country that doesn't even exist," Chirich wrote. "Tanzania is the largest country in East Africa, rich in natural resources, with a population of some 46 million peace seeking people and a gross domestic product of more than 58 billion dollars.
Chirich noted that Israel andTanzania have had diplomatic, security, and economic relations since Tanzania's independence and that Prime Minister Binyamin Netanyahu has recently met African leaders in an effort to deepen ties with the continent amid the strengthening of Islamic extremism there.
"Tanzania is an important country that Israel should not ignore," Chirich wrote.
Barak's associates said he did not intend to express regret for his statements aboutTanzania, which they said Barak had made on multiple occasions.
"Maintaining relations with England, Germany, and France is indeed more urgent for Israel than with Tanzania, which has less influence from Israel's standpoint," a source close to Barak said.
hata nashangaa eti watu wanasema Tanzania ni nchi wakati ndani yake kuna mamlaka imebadili katiba, ikataja mipaka yake mipya, ikampa nguvu kiongozi wao na kuzinyang'anya za yule rais wa muungano, zikajiongezea viongozi wasiotambuliwa na katiba na kuilazimisha serikali ya muunganno kuwatambua na kuawapa heshima hao kama viongozi wa kitaifa.
Baada ya kudhalilika hivi bado nchi hii inataka kutambulika kama nchi na kupewa heshima sawa na nchi zinazojitambua.
huyu barak aache dharau za kijinga kwani hata wao hawana msaada wowote kwetu.huwezi ukalinganisha umuhimu wa US,UK,SCANDINAVIAN COUNTRIES,CHINA kwa Tanzania ukilinganisha na Israel hivyo kama vipi watupotee tu na hatuwahitaji.Ngoja tuanze kuwaita Iran waje wavune Uraniaum ndo watajua umuhimu wetu kwao.