Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Nilikuwa najiuliza jina Usain, limetokea wapi, nika google, jibu:
Gender: M Meaning of Usain: "beautiful" Origin of Usain: Arabic, possible variation of Hussein
Chanzo: Usain: Meaning Of Name Usain | Nameberry.com
Kumbe yeye na Obama wana share jina.

Acha uongo mmoja ni Usain na Mwingine ni Baraka/Barack Hussen.
Sema wakina Hussein hawa wanapiga nguruwe kwenda mbele.