Barack Obama - Rare Pictures

Cheers BAK, vitu vya ukweli Meeen! Hujabuuug Meen!
 
Mkuu Allien zinapendeza na sijui kama wakuu wetu wana la kujifunza au wapo wapo tuu

Mkuu, si wakuu wetu tu wajifunze kutokana na picha hizi, hata sisi...kwa maana na wewe pia, kama kuna la kujifunza basi ni vema tujifunze...usijiengue kama vile hufai kujifunza.
 


Hii nimeipenda sana,Kuna wakati mambo yanagomaau yanatakiwa yaende haraka bila kukosewa, Unahitaji Ukae mahali kwenye utulivu ili kufikiri kwa usahihi na kuamua.
 
Kwa timbwili timbwili alizao nazo huyu jamaa (mazoezi na michezo mingine), si rahisi sana kupata kitambi. Viongozi wetu wengi wa Kiafrika hawapendi fun moments, kila muda wako serious.
 
Kwa jinsi huyu jamaa alivyo Simple nilishasikia huwa sometime hata kubrush viatu vyake na hata chakula anataka kujihudumia yeye mwenyewe sema ni Protocal ndio inamzuia!

 
dah kajamaa kanakula good time sana. haya maisha bwana huwezi jua kesho itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…