Barack Obama - Rare Pictures

Barack Obama - Rare Pictures

Maisha ya obama hua nayapenda sanaa sijui kwanini sikusomaga,eemwenyezi nijalie japo nishike pesa niweze kufikia japo nusu ya huyu prez da wa u.s.a. jamanii
 
Haya ni maadalizi ya Hotuba ya Obama:

23_p090909ps-0026.jpg
 
First World is First World, Presidential is an institution bana.........
 
Kwa jinsi huyu jamaa alivyo Simple nilishasikia huwa sometime hata kubrush viatu vyake na hata chakula anataka kujihudumia yeye mwenyewe sema ni Protocal ndio inamzuia!

46_p080810ps-1702.jpg

Baba akiwa karibu hivi na wanae inaleta faraja sana.
 
Back
Top Bottom