Kwanini Jokate na January Wanaweweseka kwa pamoja juu ya hayati Magufuli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,070
Imenibidi nichukue Bible yangu na kusoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati ili nijipe Maarifa na kumbukumbu sawia

Nashawishika kusema Nyakati Hizi ni za Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere

Mwenye Masikio na Asikie

Yesu akimwambia Petro " kabla Jogoo hajawika utanikana mara 3"

Yesu akawaambia wale thenashara " Mmoja wenu atanisaliti" na hakumtaja kwa Jina ila alimtowelea
Hapo kuna Somo kubwa sana

Nuru ya Shujaa Magufuli inang'ariza Nchi kuelekea 2025

Hakunaga namna, Sabato Njema 😄🔥
 
Jpm hakufaa hata kuwa mjumbe wa mtaa. Ni basi tu ccm ilikosa mtu sahihi. Jamaa alikuwa kilaza haswaa
 
Imenibidi nichukue Bible yangu na kusoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati ili nijipe Maarifa na kumbukumbu sawia

Nashawishika kusema Nyakati Hizi ni za Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere

Mwenye Masikio na Asikie

Yesu akimwambia Petro " kabla Jogoo hajawika utanikana mara 3"

Yesu akawaambia wale thenashara " Mmoja wenu atanisaliti" na hakumtaja kwa Jina ila alimtowelea
Hapo kuna Somo kubwa sana

Nuru ya Shujaa Magufuli inang'ariza Nchi kuelekea 2025

Hakunaga namna, Sabato Njema 😄🔥

Ulimsikia wapi Yesu akisema maneno hayo ??
 
kuweweseka ama kutokuweweseka ni juu yao binafsi 🐒
 
Cheo ni kitamu jamani acheni tuu Hawa vijana waropoke kutafuta kuonekana! Jokat "alitumika" mmno saii kapata kacheo lazima aweweseke huyu njaanuari alipigwagwa chini akatiisha huruma utahisi anamsiba kilasiku.
 
Imenibidi nichukue Bible yangu na kusoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati ili nijipe Maarifa na kumbukumbu sawia

Nashawishika kusema Nyakati Hizi ni za Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere

Mwenye Masikio na Asikie

Yesu akimwambia Petro " kabla Jogoo hajawika utanikana mara 3"

Yesu akawaambia wale thenashara " Mmoja wenu atanisaliti" na hakumtaja kwa Jina ila alimtowelea
Hapo kuna Somo kubwa sana

Nuru ya Shujaa Magufuli inang'ariza Nchi kuelekea 2025

Hakunaga namna, Sabato Njema 😄🔥
Umesema kitu. Hawa waliyokua wanampiga vijembe na sasa wanampinga jpm wakijipendekeza kwa mama wanatupa ujumbe gani? ..kwamba mama gizani ni mpinzani wa magufuli. Woga wao kwa umma uliyompenda magufuli ndio tishio kwao. 2025 tunahitaji magufuli mpya. Umma wa wananchi tusije kuhadaika kwa kauli za hao wahuni.
 
Wafuasi wa mheshimiwa jiwe wana tatizo linalofanana na wafuasi wa mbowe, hawawezi kupokwa maoni yanayokinzanj na watu wao. Ili uonekane upo pamoja nao basi we uwe mtu wa kusifia na kuabudu hao miungu yao basi.
Sasa bwashee, ndege wafanano si huwa wanaruka pamoja? Unataka wafuasi wa shujaa turuke pamoja na wafuasi wa tundu lisu kwa kushikana urafiki na rob amster? Hilo siyo kundi letu!
 
Imenibidi nichukue Bible yangu na kusoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati ili nijipe Maarifa na kumbukumbu sawia

Nashawishika kusema Nyakati Hizi ni za Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere

Mwenye Masikio na Asikie

Yesu akimwambia Petro " kabla Jogoo hajawika utanikana mara 3"

Yesu akawaambia wale thenashara " Mmoja wenu atanisaliti" na hakumtaja kwa Jina ila alimtowelea
Hapo kuna Somo kubwa sana

Nuru ya Shujaa Magufuli inang'ariza Nchi kuelekea 2025

Hakunaga namna, Sabato Njema
Shujaa kwako siyo kwa kila mtu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom