Barabarani naomba muwe makini

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
843
176
Uamuzi huu ni baada ya kuharibiwa gari mara kadhaa na daladala, bodaboda, na bajaj na mara nyingi wanakimbia.
Mmoja ndiyo nimefanikiwa kumtia mkononi na kesi iko police msimbazi# bullet never lies.
FB_IMG_1476458729896.jpg
 
Nami nipo mbion kununua hii mambo ya kuwa na Gari la million 12 halafu bastola ya 1 up to 2m ukose sio fair hii kitu ukitoa watu wanakaa kimya hyo yako ni aina gan
 
AKAGUN20-D.jpg

Stakagi ujinga kabisa heri lawama kuliko fedheha njoo kwenye uwanja wa mapambano sasa!
 
hongera kaka hata hvo hali imekua gumu mno, uhalifu naona unakua kwa kasi kubwa, kidgo cha kwako yule nae anakitolea macho
Uamuzi huu ni baada ya kuharibiwa gari mara kadhaa na daladala, bodaboda, na bajaj na mara nyingi wanakimbia.
Mmoja ndiyo nimefanikiwa kumtia mkononi na kesi iko police msimbazi# bullet never lies.View attachment 418070
 
Jinai unayo tayari, maana umekusudia! Nenda mwenyeweeeee!
Ni hivi, atayenichokoza na kuanza kunibishia kwa kosa/makosa aliyotenda kwa uzembe wa kuto kufuata sheria za usalama barabarani; basi sina budi kutumia mguu wa kuku ili tuweze kuelewana haraka na kuokoa muda wa kubishana.
 
Nimekuelewa ndugu. Kuna watu wengine jeuri kweli humo njiani ila mguu wa kuku nao eh! Yani likitokea jambo, unatoka na kitu kabisaaa!
 
Uamuzi huu ni baada ya kuharibiwa gari mara kadhaa na daladala, bodaboda, na bajaj na mara nyingi wanakimbia.
Mmoja ndiyo nimefanikiwa kumtia mkononi na kesi iko police msimbazi# bullet never lies.View attachment 418070

Gari ni Left hand...acha kutuongopea wewe,yaan unafanya screen capturing alafu unaleta mada mezani.? Shame on u
 
Back
Top Bottom