Barabarani gari zimehadimika wamebaki vidume tu

Barabarani gari zimehadimika wamebaki vidume tu

Hata boda na baja kuanzia kesho zitakimbiwa sana,

Leo jioni bajaj nyingi bei imekua mara mbili, sehemu pekee ambayo itakua ni salama ni usafiri wa uma (Daladala) coz huko hawawezi kujipandishia bei mpaka Latra waamue

Kwa sasa mbinu pekee ni kuwahi kuamka, ukichelewa jiandae kubembea mlangoni na konda
 
Mwenye kumiliki gari hawezi kulalamika ongezeko la buku,mara nyingi kuna yale machenjichenji kibao wanakuwa nayo pembeni ya seat labda ni gari la kuazima au la wazazi.
 
Mwenye kumiliki gari hawezi kulalamika ongezeko la buku,mara nyingi kuna yale machenjichenji kibao wanakuwa nayo pembeni ya seat labda ni gari la kuazima au la wazazi.
Mnaongea kirahisi bila kuwaza kiundani. Unajua truck moja inakula lita ngapi from Dar to DRC? Haya zidisha mara 1000. Halafu mtu ana truck 100 kwa siku anazituma Congo. Je hio ni kiasi gani imeongexeka kwenye gharama za uendeshaji kwa mwezi?
 
Naongelea gari za matumizi binafsi siyo biashara.Wafanya biashara ni issue nyingine.Kwa hiyo utashindwa kutoka nyumbani kwenda kwenye shughuli zako kisa ongezeko la buku?
 
Naongelea gari za matumizi binafsi siyo biashara.Wafanya biashara wanaweza kulalamika.
Ndugu yangu wewe unaangalia lita 1. Few years back nilikuwa natumia tank moja kwa wiki hio ni 60L maana yake ni ongezeko la 60,000 kwa wiki,kwa mwezi ongezeko la 240,000/- au ongezeko la 3m kwa mwaka. Sasa niambie ongezeko la 3m kwenye gharama zako za maisha is nothing.
 
Mnaongea kirahisi bila kuwaza kiundani. Unajua truck moja inakula lita ngapi from Dar to DRC? Haya zidisha mara 1000. Halafu mtu ana truck 100 kwa siku anazituma Congo. Je hio ni kiasi gani imeongexeka kwenye gharama za uendeshaji kwa mwezi?
Ml. 400 duu
 
Ndugu yangu wewe unaangalia lita 1. Few years back nilikuwa natumia tank moja kwa wiki hio ni 60L maana yake ni ongezeko la 60,000 kwa wiki,kwa mwezi ongezeko la 240,000/- au ongezeko la 3m kwa mwaka. Sasa niambie ongezeko la 3m kwenye gharama zako za maisha is nothing.
Ni affordable kwa mtu anayemiliki gari mjini.
 
Uko sahihi, ujue kuna watu bado wanaforce mambo..ila hilo sio ongezeko la kumfanya mtu apaki gari nyumbani
Kabisa mkuu, angalau kidogo yakifika 15,000 kwa lita kidoogo unaweza acha kutumia gari za cc juu ya 3,500 unarudi kwenye hizi cc 2500 unatulia kidogo kupoe, na hapo ni basi tu ila kama kwa mwanaume yule mwanaume mwenyewe mbona hata hiyo bei haina shida wala.
 
BAISKELI ZITAPANDA BEI SANA .

wanaofuga farasi na punda ndio zitakuwa daladala.

ndio mwanzo wa dhiki kuu

vita vya tatu vya dunia

unyakuo kurudi kwa Yesu mara ya pili.

Mwanzo wa ule mwisho.

HALI ITAENDELEA KUWA MBAYA KILA LEO/KILA KESHO ITAKUWA AFADHALI YA JANA.
 
Shida mnadanganyana sana kwa sababu mpo na magari madogo na kutokujua aina zingine za magari zinatumiaje mafuta..
Ford ranger 2.2 inakula mafuta kidogo zaidi ya hizo ulizozitaja na pia Toyota hilux ya 2022 kuja juu nazo ni kama Ford tu mafuta zinanusa mno gari nyingi za miaka ya karibuni kubwa ukiziona zote mafuta zinanusa..
 
Back
Top Bottom