Barabara zenye viwango na imara Tanzania

Barabara zenye viwango na imara Tanzania

Jamani eeh, hizi nchi zetu za 5th world hakuna barabara za lami, barabara ziko first world. Sisi tunajenga njia za msimu tu.

barabara usiyoweza kwenda 250km/h bila kuacha njia au kupasua tairi huwezi kuiita barabara.., na monaco formula 1 wanakoendeshea magari yao mtaani wakienda hadi 300km/h tuziitaje?

ukitaka kujua kiwango cha barabara kinacvyotakiwa kuwa, omba uendeshe kiugonjwa cha moyo chako kwenye runway hapo JNIA, then ndio utaelewa kwa wenzetu lami zikoje..,

wakati sisi tuna mikeka, yenye marinda marinda, wenzetu wana makapeti yaliyonyooka.

Umesomeka mkuu
 
Muhimbili operates on 66 heart patients in 7days.

Saves Sh1.3bn, Emerges strongest among EA public hospitals.
JK-Mtoto-16May2015%281%29.jpg

President Jakaya Kikwete visits six year-old Habiba Khalfan Lipande at Muhimbili National Hospital after surgeons successfully treated her by plugging a vent in her heart using the new technology which needs no open surgery. Habiba comes from Mavumba village in Morogoro Region. (Photo: Freddy Maro of State House)

The Cardiac Centre at the Muhimbili National Hospital (MNH) has succeeded in filling holes in patients’ hearts by using a special device without opening up the chest as is usually done, medical reports at the MNH have confirmed.

Dr Hussein Kidanto, acting director general of the hospital, said that the use of special devices to treat heart ailments started last months, with 18 patients put to scanning on heart blood vessels and four being treated of blocked vessels.

A major treatment was to fill up a hole in the heart to allow blood vessels to reach a hole, which some infants are born with such a condition, he said.

In conducting those operations, specialist doctors at MNH worked with visiting heart specialists from the Prince Sultan Cardiac Centre in Riyadh, kingdom of Saudi Arabia, who paid a medical visit at the national facility from May 8 to 16, invited via the good offices of Muntanda Islamic Trust of Britain.

Soma zaidi: Home

Sasa sema uliyaona hayo kabla ya Kikwete? unajuwa ni nini hicho?

DSC03097.jpg

Simu yake kitandani imefungwa na rubber band au ni macho yangu
 
Abunwas sasa unaelekea kuwa kubwa jinga, kila sehemu unapost utumbo wako huu , kua bwana, shirikisha akili yako.
 
Sababu ya waziri kulalamika na kususia baadhi ya barabara inaonesha kua hizo specifications unazozitaji azifuatwi wala kuzimeet, kua muwazi WUORA.

kama waziri anasubiri barabara mpaka ifike mwisho ndio aje haikatae basi ni dhairi watendaji wake hawako makini na wanastahili kuchukuliwa hatua,kwa sababu kwenye ujenzi wa barabara client (serikali) anakuwa na watu wake(consultant firm) wanaohakikisha viwango (specifications) zinafikiwa na huwa ni hatua kwa hatua kitendo cha kusubiri mpaka ujenzi ukamilike ndo barabara ikataliwe ni utendaji/usimamizi mbovu ndani ya serikali si ushujaa kama inavyodhaniwa na watu wengi.JATELO!!
 
images
J
Japn roads...Tanzania tunapiga siasa tu...na bado..

Barabara zetu nyingi zimetengenezwa chini ya kiwango na yote hyo ni wizara kuendekeza ten parent. Kuna barabara toka rusaunga- biharamulo-muleba mpaka bukoba serikali haikupaswa kuipokea kabisa kwani ni mbovu sana kwa asilimia kubwa imejengwa chini ya kiwango. Imekua na mashimo kila mahali huku maeneo mengine barabara ikipandisha maji.
 
si bora hizo mbovu zipo, je zisingekuwepo kabisa?

sawa mkuu, lakini hata hizo mbovu nazo zimewashinda kusimamia kwa matumizi yaliyo kusudiwa, hasa mijini, mmeamuwa kuwagawia wafanyabishara wadogo wadogo wapange bidhaa zao.mfano pale kariakoo yote, karume, tandika manzese,sehemu zingine barabara hufungwa kabisa na serekali ipo ikiona. sasa kama hata haya madogo yanawashinda makubwa ndo hamtayaweaza kamwe!
 
TEN% Achana nayo kabisa,halafu eti tunaambiwa ndiyo kiongozi atakayetutoa.Machungu yanazidi.Kwenye wizara kiduchu ameshindwa Litanzania lote??????????????????????????????????????????????????????
 
Barabara zetu nyingi zimetengenezwa chini ya kiwango na yote hyo ni wizara kuendekeza ten parent. Kuna barabara toka rusaunga- biharamulo-muleba mpaka bukoba serikali haikupaswa kuipokea kabisa kwani ni mbovu sana kwa asilimia kubwa imejengwa chini ya kiwango. Imekua na mashimo kila mahali huku maeneo mengine barabara ikipandisha maji.
Sitaki kuamini kabisa kama nchi yetu Tanzania haina pesa ya kujenga barabara kama hizi katika miji yetu na hata hizo za mikoani.
CC: THUON,Abnuasi.
 
Kumbuka hata malori yanayozidisha uzito yanaharibu barabara! Yeah, huhitaji rocket science lakini suala la ubora wa barabara ni very technical, huwezi kujadili kwa cheap arguments kama hizi..

Kabla ya kuanza kujenga barabara ni lazima kufanya feasibility study kujua kama barabara hiyo inakwenda kwenye eneo lenye shughuli za kiuchumi. Hayo malori yanayoharibu barabara hayaibuki tu mara baada ya kujengwa barabara,Lazima yalikuwa yanatumia barabara hiyo hiyo kabla ya kuweka lami maana yake kuna shughuri za kiuchumi katika eneo hilo.Sasa barabara zinapoharibika miaka michache tu baada ya kukabidhiwa ni ushahidi tosha kuwa zinajegwa chini ya viwango.Hii siyo siasa ila ni observation ya watu wanaotumia barabara na siyo lazima wote wawe ma-engineers.
 
Barabara za jinsi hii huko Uganda Rais Mseven aliwahi kuziita "barabara za Nasassira" (waziri wa ujenzi enzi hizo)! Sababu zilukiuwa hazidumu zaidi ya miaka 10, wakati zinazojengwa Ulaya zinaweza kukaa zaifi ya miaka 40.
 
kama waziri anasubiri barabara mpaka ifike mwisho ndio aje haikatae basi ni dhairi watendaji wake hawako makini na wanastahili kuchukuliwa hatua,kwa sababu kwenye ujenzi wa barabara client (serikali) anakuwa na watu wake(consultant firm) wanaohakikisha viwango (specifications) zinafikiwa na huwa ni hatua kwa hatua kitendo cha kusubiri mpaka ujenzi ukamilike ndo barabara ikataliwe ni utendaji/usimamizi mbovu ndani ya serikali si ushujaa kama inavyodhaniwa na watu wengi.JATELO!!
Je inaweza kuwa sababu ya barabara zetu kuwa chini ya viwango?,Najua hutaki kusikia neno 'barabara zetu kuwa chini ya viwango' ingawa ndio ukweli wenyewe.Nagundua pia kuwa unajua ni wapi zinaweza kupatikana specifications za barabara zetu,siyo sahihi kutaka watumiaji wa barabara wakuwekee specifications siyo?.
 
nyie ni wapuuzi tu. nashangaa mnapata wapi hiyo nguvu ya kuandika humu kuwa Kikwete hajafanya chochote. akili za mbwa hizi.

Na mimi nikiwa na 1000000tsh nikamnunulia mke wangu peremende nitakua nimefanya kitu au? wakati anatembea mguu peku kwa kukosa viatu
 
Na mimi nikiwa na 1000000tsh nikamnunulia mke wangu peremende nitakua nimefanya kitu au? wakati anatembea mguu peku kwa kukosa viatu
akili za mbwa hizi zinafikiria Kikwete angewaletea kila kitu, asuhumi mkate mchana wali nyama..... akili hizi zinashindwa kuelewa kuwa barabara nzuri zitawawahishia shughuli zao ikiwa ni biashara au chochote na kuboresha maisha yao. akili hizihizi zinashindwa kuelewa kupitia mavyuo na mashule kutawezesha uelewa wao kupanuka na kuweza kuboresha maisha yao, ni kweli kabisa akili hizi za mbwa hazielewi hata kupewa umeme kunawzesha kuinua uchumi wao maana shughuli nyingi zinahitaji umeme kama mafiriji, welding, saloon, mahotelini, madukani na kadhalika. akili hizi zinaamini kuwa hapo mwanzo zilikuwa na viatu (inawezekana matairi ya magari kuwa matairi ya miguu) na sasa zinatembea peku.
akili za mbwa hizi. ama kweli hizi ni akili za mbwa asilani.
 
Tukiacha masihara na kujichua Tanzania tumeachwa bali sana kwa miundombinu ya usafiri kama barabara , bandari na viwanja vya ndege hapa Afrika Mashariki hii ni kiwastani wa urefu upana na ubora kiujumla kutokea za mijini hadi za masafa marefu. Anaebisha anitajie barabara mbili tu basi
 
Hoja yako hasa nini katika swali lako...!!!?
Uzuri wa barabara au ulinganifu wa barabara...!!!?

Kama ni uzuri, tuna barabara nzuri nyingi za kujivunia...

Kama hoja ni ulinganifu baina ya nchi, ungebainisha tulinganishe na nchi gani...

Tafakari...
 
East Africa -Uganda na Kenya tu mkuu-tafakari
 
Back
Top Bottom