Barabara zenye viwango na imara Tanzania

Barabara zenye viwango na imara Tanzania

Tanzania hakuna barabara za lami bali barabara udongo zilizopakwa rangi nyeusi
 
Hebu angalia hii huko Ethiopia[/QUOTE

Ni nini cha ajabu hapo kwa mfano? lakini sie wabongo wa ajabu sana maana mpaka tulivyoumbwa na rangi yetu hatujikubali tunajikoroga na vit.ko hatuvikubali mpaka tubandike vya kichina

Kua badi acha ufaka we ------! Cha ajabu hukioni hapo?! Tafuta sehemu tanzania hii high way ya four ways kama utaipata!! Usilete ujinga ujinga wako hapa, cha kujikubali unachokiona ww ni nn? ---- ww
 
Sasa sema uliyaona hayo kabla ya Kikwete? unajuwa ni nini hicho?

[/SIZE] Ila mazuri yake jamani inabidi tuyakubali tu. Hata kama mimi ni team Lowassa.
DSC03097.jpg

[/B][/B][/B]

Hapa panazungumziwa barabara wewe unahamia kwenye afya we kweli ni Abunuasi[/QUOTE]
 
Inabidi na uzuri tuuseme, ni kweli amejitahidi kufanya mambo mazuri jamani. Ila we need change more than this.
 
dah hata hizo barabara unazopita kila siku bado unabeza?? unataka uwekewe 4 ways ya kwenda bafuni kwako? unalalamika afu usikute kwako hujajenga hata nyumba ya vigae yenye ubora unaoutaka mfano wa hizo lami! kwendeni huko kama hamtaki nendeni sudan au somalia kuna lami safi!
 
Vipande vya barabara kuu ambavyo ni bora kibongobongo ni Chalinze- Morogoro(NCC Arshleef), Iyovi/Ruaha Mbuyuni- Mafinaga( NCC Arsheleef), Nangurukuru- Lindi(Karafi), Kurasini- Ubungo( Maltauro), Ndundu- Somanga( Karafi),angalau Ubungo- Mwenge( Mchina) wengine ongezeeni. Kwa maana hiyo nje ya hapo barabara nyingi zina mashimo, Mawimbi nk

Kuna kile kipande toka iringa mjini kwenda mafinga kinaitwaje? Pale kuna mkeka mzuri sana.
 
Tanzania hakuna barabara za lami bali barabara udongo zilizopakwa rangi nyeusi

Barabara inakuja kugeuka matuta ya viazi.
Angalia pale mbezi mwisho, mlandizi - chalinze.
Hopeless kabisa.
 
Back
Top Bottom