Barabara zenye viwango na imara Tanzania

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,144
Reaction score
6,910
Tangu kuanza kwa utawala wa awamu ya nne kumekuwa na kasi kubwa ya ujenzi wa miundombinu karibu pande zote za nchi hii.

Pamoja na kwamba ujenzi huo ulianzia kwenye awamu ya tatu chini ya raisi mstaafu BWM,Waziri wa sasa miundombinu kwa kiasi kikubwa sana amebakia kuwa msimamizi na kiongozi wa wizara hii na kwa mtaji huo ameteuliwa na chama tawala kugombea nafasi ya urais katika awamu ya tano.

Pamoja na kuwa na sifa ya uchapakazi ambayo ndio sifa inayohusishwa na ujenzi wa barabara na madaraja katika ya awamu ya nne,Mhe.John Pombe Magufuri tayari amebatizwa kuwa ni BULLDOZER kwa kuwa yeye ndiye anatwishwa mzigo wa kukisafisha chama tawala,na hasa kunadi mafanikio yaliyopatikana katika kujenga miundombinu ya nchi hii,Nawauliza watanzania wenzangu kama kweli tunaridhishwa na viwango vya barabara tunazokabidhiwa kuwa zimekamilika,hapa nikilenga vigezo kama unene wa lami inayowekwa,upana wa barabara,kingo za barabara,elevation za barabara zetu na zaidi sana alama za barabarani.

Nimesafiri kwa barabara tanzania nzima kupitia kwenye hizi barabara zetu zinazonadiwa kuwa zinajengwa karibu
nchi nzima lakini kwa masikitiko makubwa nashindwa kuelewa ni kwa nini wataalamu wetu walioaminiwa katika wizara ya miundombinu,pamoja na kuwa na exposure ya kutosha,kusafiri nje ya nchi kujifunza,Wanakubali vipi kupokea miradi ya barabara iliyokamilika lakini chini ya viwango?.

Ni kweli kabisa enzi za Mkapa ili kufika Mwanza,Musoma,Bukoba kwa lami ililazimu kupitia Kenya,vinginevyo vumbi ndiyo ilikuwa mpango mzima.

Pamoja kuwa sasa unaweza kusafiri kupitia kwenye barabara ya lami kutoka Dar hadi Mwanza,Mtwara,Songea,Mbeya,Rukwa,Tanga na Arusha.Je ni kweli kuwa tuna barabara za kujivunia tukilinganisha na majirani zetu?

Nadiriki kusema wazi kuwa barabara zetu ni finyu,ziko chini ya viwango na kwa ajili hiyo zinaharibika baada ya muda usiozidi hata miaka mitano.

Ningependa wadau tulijadili hili kwa kutumia uzoefu tuliowahi kuuona katika barabara za nchi mbali mbali ambazo baadhi yetu humu tumeziona na
kuzipitia.Hasa wale waliowahi kusafiri nchi ulaya na asia watupe uzoefu wao.Nawasilisha. Barabara zenye viwango.jpg
 
Hebu angalia hii huko Ethiopia
 
Attachments

  • 1437491728649.jpg
    1437491728649.jpg
    22 KB · Views: 1,905
Hebu angalia hii huko Ethiopia[/QUOTE

Ni nini cha ajabu hapo kwa mfano? lakini sie wabongo wa ajabu sana maana mpaka tulivyoumbwa na rangi yetu hatujikubali tunajikoroga na vit.ko hatuvikubali mpaka tubandike vya kichina
 
Tanzania kuna maendeleo sana,, siku hizi hawatumii barabara wanapanda ndege
 
Mkuu, kujibu swali lako bila kuonea mtu yeyote ni vyema basi tungekuwa na mikataba ya ujenzi wa kila barabara ili tuweze kujua specification zake. Nijuavyo mimi si barabara zote zina viwango sawa. Viwango vinatofautiana kutokana na umuhimu wa hiyo barabara, idadi ya magari yanayopita hapo, uzito wa magari yanayopita hapo na zaidi upatikanaji wa pesa kwa ajili ya ujenzi wa hiyo barabara. Tukiyajua haya ndipo tutaweza kunyoosha kidole na kusema barabara fulani imejengwa chini ya kiwango.

Hata hivyo, pamoja viwango vya barabara hizi zinazojengwa kusemwa vipo chini, mimi naona zimesaidia sana kuleta connections na kurahisisha usafiri katika maeneo husika.

DSC_0401.JPG

Barabara ya Iyovi - Iringa. Moja ya barabara zenye ubora wa kiwango cha juu. Ujenzi wake umegarimu pesa nyingi ingawa ni za msaada.

DSC_0396.JPG
 
Hebu angalia hii huko Ethiopia[/QUOTE

Ni nini cha ajabu hapo kwa mfano? lakini sie wabongo wa ajabu sana maana mpaka tulivyoumbwa na rangi yetu hatujikubali tunajikoroga na vit.ko hatuvikubali mpaka tubandike vya kichina

Kuna faida gani kujenga barabara ambayo baada ya muda mfupi inafanyiwa ukarabati mkubwa kutokana na kujengwa chini ya kiwango au baada ya muda mfupi kuifanyia upanuzi muda mfupi tu, hebu pita hii barabara ya mwenge tegeta uione haina hata mwaka lakini imeanza kubonyea.
 
Ni kweli kuna barabara zimejengwa chini ya kiwango kwa uelewa wangu na wa wengi lakini zipo nyingine zipo vizuri, tuwe wa kweli tusilaumu tu bali pale penye uzuri tusifie pia. mfano hiyo barabara kwenye post #11 hapo juu na maelezo ya Maboso. Tutende haki tusijawe lawama tu
 
wengine mmekaririshwa kupinga kila kitu alichofanya kikwete hata kama ni kizuri na kwa manufaa yetu sote. endeleeni kupinga nami nawatakia kila la shari.

Tangu kuanza kwa utawala wa awamu ya nne kumekuwa na kasi kubwa ya ujenzi wa miundombinu karibu pande zote za nchi hii.

Pamoja na kwamba ujenzi huo ulianzia kwenye awamu ya tatu chini ya raisi mstaafu BWM,Waziri wa sasa miundombinu kwa kiasi kikubwa sana amebakia kuwa msimamizi na kiongozi wa wizara hii na kwa mtaji huo ameteuliwa na chama tawala kugombea nafasi ya urais katika awamu ya tano.

Pamoja na kuwa na sifa ya uchapakazi ambayo ndio sifa inayohusishwa na ujenzi wa barabara na madaraja katika ya awamu ya nne,Mhe.John Pombe Magufuri tayari amebatizwa kuwa ni BULLDOZER kwa kuwa yeye ndiye anatwishwa mzigo wa kukisafisha chama tawala,na hasa kunadi mafanikio yaliyopatikana katika kujenga miundombinu ya nchi hii,Nawauliza watanzania wenzangu kama kweli tunaridhishwa na viwango vya barabara tunazokabidhiwa kuwa zimekamilika,hapa nikilenga vigezo kama unene wa lami inayowekwa,upana wa barabara,kingo za barabara,elevation za barabara zetu na zaidi sana alama za barabarani.

Nimesafiri kwa barabara tanzania nzima kupitia kwenye hizi barabara zetu zinazonadiwa kuwa zinajengwa karibu
nchi nzima lakini kwa masikitiko makubwa nashindwa kuelewa ni kwa nini wataalamu wetu walioaminiwa katika wizara ya miundombinu,pamoja na kuwa na exposure ya kutosha,kusafiri nje ya nchi kujifunza,Wanakubali vipi kupokea miradi ya barabara iliyokamilika lakini chini ya viwango?.

Ni kweli kabisa enzi za Mkapa ili kufika Mwanza,Musoma,Bukoba kwa lami ililazimu kupitia Kenya,vinginevyo vumbi ndiyo ilikuwa mpango mzima.

Pamoja kuwa sasa unaweza kusafiri kupitia kwenye barabara ya lami kutoka Dar hadi Mwanza,Mtwara,Songea,Mbeya,Rukwa,Tanga na Arusha.Je ni kweli kuwa tuna barabara za kujivunia tukilinganisha na majirani zetu?

Nadiriki kusema wazi kuwa barabara zetu ni finyu,ziko chini ya viwango na kwa ajili hiyo zinaharibika baada ya muda usiozidi hata miaka mitano.

Ningependa wadau tulijadili hili kwa kutumia uzoefu tuliowahi kuuona katika barabara za nchi mbali mbali ambazo baadhi yetu humu tumeziona na
kuzipitia.Hasa wale waliowahi kusafiri nchi ulaya na asia watupe uzoefu wao.Nawasilisha.View attachment 269987
 
wengine mmekaririshwa kupinga kila kitu alichofanya kikwete hata kama ni kizuri na kwa manufaa yetu sote. endeleeni kupinga nami nawatakia kila la shari.

We need value for money that's all, Tatizo lenu mnachojali ni quantity badala ya quality!
 
Mkuu nakuomba uusome vizuri uzi wangu uuelewe,Hivi nyumba yako mwenyewe ungependa ijengwe chini ya viwango?.
 
Muhimbili operates on 66 heart patients in 7days.

Saves Sh1.3bn, Emerges strongest among EA public hospitals.
JK-Mtoto-16May2015%281%29.jpg

President Jakaya Kikwete visits six year-old Habiba Khalfan Lipande at Muhimbili National Hospital after surgeons successfully treated her by plugging a vent in her heart using the new technology which needs no open surgery. Habiba comes from Mavumba village in Morogoro Region. (Photo: Freddy Maro of State House)

The Cardiac Centre at the Muhimbili National Hospital (MNH) has succeeded in filling holes in patients' hearts by using a special device without opening up the chest as is usually done, medical reports at the MNH have confirmed.

Dr Hussein Kidanto, acting director general of the hospital, said that the use of special devices to treat heart ailments started last months, with 18 patients put to scanning on heart blood vessels and four being treated of blocked vessels.

A major treatment was to fill up a hole in the heart to allow blood vessels to reach a hole, which some infants are born with such a condition, he said.

In conducting those operations, specialist doctors at MNH worked with visiting heart specialists from the Prince Sultan Cardiac Centre in Riyadh, kingdom of Saudi Arabia, who paid a medical visit at the national facility from May 8 to 16, invited via the good offices of Muntanda Islamic Trust of Britain.

Soma zaidi: Home

Sasa sema uliyaona hayo kabla ya Kikwete? unajuwa ni nini hicho?

DSC03097.jpg
 
Wewe hacha utumwa nyie mlikuwa wapi wakati nyerere analitoa taifa hii utumwani?
 
Sasa sema uliyaona hayo kabla ya Kikwete? unajuwa ni nini hicho?

[/SIZE]
DSC03097.jpg
[/B][/B][/B][/QUOTE]

Hapa panazungumziwa barabara wewe unahamia kwenye afya we kweli ni Abunuasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom