Barabara zenye viwango na imara Tanzania

Maboso: Nafikiri hiyo ni southern highlands highway.Specifications zinakuwa kwenye mkataba baada ya tajiri kumwelekeza mfadhili/mjenzi aina ya barabara anayotaka ijengwe kulingana na mahitaji halisi ya mradi huo.Barabara hii kwa umuhimu wake na jinsi ilivyo sasa hivi,wewe unaona iko sawa?,je si ingeweza kuwa bora kuliko sasa na viwango vya juu zaidi ya hapo?.
 
Yaani hii barabara ya mwenge tegeta sijui kwanini walitengeneza njia 2 tu, kwani barabara ya kutikea msata ikikamilika basi tutarajie bonge la follen, na pale interchick km unatoka tgt kuna mbonyeo mkubwa na unazidi kukua siku hadi siku, yaani ni shida sana.
 
Abunuas: Mbona unaanzisha mada nyingine?,Angalau onyesha basi barabara ya kuingilia kwenye hiyo taasisi ya moyo pale Muhimbili.Maana mada inahusu barabara zenye viwango.
 
Mkuu nakuomba uusome vizuri uzi wangu uuelewe,Hivi nyumba yako mwenyewe ungependa ijengwe chini ya viwango?.

Ni unafiki kusema barabara zimejengwa chini ya viwango wakati haujui specifications zake.Brbr nyingi zimejengwa kulingana na fedha zinazokuwepo.Nchi zote duniani zinaendeshwa kwa kodi, je unalipa kodi upande wako?
 
Yaani hii barabara ya mwenge tegeta sijui kwanini walitengeneza njia 2 tu, kwani barabara ya kutikea msata ikikamilika basi tutarajie bonge la follen, na pale interchick km unatoka tgt kuna mbonyeo mkubwa na unazidi kukua siku hadi siku, yaani ni shida sana.

Yaani pale ni tatizo sijui hawa 'wakubwa' hawapiti.
 
Tangu kuanza kwa utawala wa awamu ya nne kumekuwa na kasi kubwa ya ujenzi wa miundombinu karibu pande zote za nchi hii.

Pamoja na kwamba ujenzi huo ulianzia kwenye awamu ya tatu chini ya raisi mstaafu BWM,Waziri wa sasa miundombinu kwa kiasi kikubwa sana amebakia kuwa msimamizi na kiongozi wa wizara hii na kwa mtaji huo ameteuliwa na chama tawala kugombea nafasi ya urais katika awamu ya tano.

Pamoja na kuwa na sifa ya uchapakazi ambayo ndio sifa inayohusishwa na ujenzi wa barabara na madaraja katika ya awamu ya nne,Mhe.John Pombe Magufuri tayari amebatizwa kuwa ni BULLDOZER kwa kuwa yeye ndiye anatwishwa mzigo wa kukisafisha chama tawala,na hasa kunadi mafanikio yaliyopatikana katika kujenga miundombinu ya nchi hii,Nawauliza watanzania wenzangu kama kweli tunaridhishwa na viwango vya barabara tunazokabidhiwa kuwa zimekamilika,hapa nikilenga vigezo kama unene wa lami inayowekwa,upana wa barabara,kingo za barabara,elevation za barabara zetu na zaidi sana alama za barabarani.

Nimesafiri kwa barabara tanzania nzima kupitia kwenye hizi barabara zetu zinazonadiwa kuwa zinajengwa karibu
nchi nzima lakini kwa masikitiko makubwa nashindwa kuelewa ni kwa nini wataalamu wetu walioaminiwa katika wizara ya miundombinu,pamoja na kuwa na exposure ya kutosha,kusafiri nje ya nchi kujifunza,Wanakubali vipi kupokea miradi ya barabara iliyokamilika lakini chini ya viwango?.

Ni kweli kabisa enzi za Mkapa ili kufika Mwanza,Musoma,Bukoba kwa lami ililazimu kupitia Kenya,vinginevyo vumbi ndiyo ilikuwa mpango mzima.

Pamoja kuwa sasa unaweza kusafiri kupitia kwenye barabara ya lami kutoka Dar hadi Mwanza,Mtwara,Songea,Mbeya,Rukwa,Tanga na Arusha.Je ni kweli kuwa tuna barabara za kujivunia tukilinganisha na majirani zetu?

Nadiriki kusema wazi kuwa barabara zetu ni finyu,ziko chini ya viwango na kwa ajili hiyo zinaharibika baada ya muda usiozidi hata miaka mitano.

Ningependa wadau tulijadili hili kwa kutumia uzoefu tuliowahi kuuona katika barabara za nchi mbali mbali ambazo baadhi yetu humu tumeziona na
kuzipitia.Hasa wale waliowahi kusafiri nchi ulaya na asia watupe uzoefu wao.Nawasilisha.View attachment 269987

mkuu una uhakika thickness ya lami,base na sub-base iliyodesigniwa nakujengwa haiwezi kuhimili mzigo(CESAL) na kama umefanya utafiti tatizo ni design au construction?? Je unajua width ya barabara inayotakiwa?? Je unajua quality ya material inayohitajika kwenye construction?au tatizo ni kutosimamia sheria mfano Load limits?? Naomba utushawishi ubovu wa barabara zetu kisayansi.
 
Ni unafiki kusema barabara zimejengwa chini ya viwango wakati haujui specifications zake.Brbr nyingi zimejengwa kulingana na fedha zinazokuwepo.Nchi zote duniani zinaendeshwa kwa kodi, je unalipa kodi upande wako?

Wewe unayezijua hizo specifications ndio ufunguke sasa katika uzi huu ili ueleweke.Hakuna unafiki kabisa ila hatutakiwi kuridhika na kidogo wakati tuna uwezo wa kupata kikubwa zaidi.
 
watanzania huwa wanapenda hata kukosoa vitu ambavyo hawavielewi, Issue unayozungumzia mleta mada ni more scientific na inahitaji proof
 
Kuna hoja kaisema hapo mkuu Maboso . Nijuavyo mimi ni kwamba kila kitu chochote kinachohusu engineering huwa kina specs, huwezi kuunda machine bila kuwa na specs, huwezi kutengeneza mtambo bila specs halikadhali huwezi jenga nyumba bila specs na barabara pia. Je katika ujenzi wa hizo barabara tatizo ni specs au tatizo hawafuati specs? Manake naona watu wanasema barabara nyembamba mara sijui hazina lami lakini hawasemi tatizo liko wapi.
 
Last edited by a moderator:
mkuu una uhakika thickness ya lami,base na sub-base iliyodesigniwa nakujengwa haiwezi kuhimili mzigo(CESAL) na kama umefanya utafiti tatizo ni design au construction?? Je unajua width ya barabara inayotakiwa?? Je unajua quality ya material inayohitajika kwenye construction?au tatizo ni kutosimamia sheria mfano Load limits?? Naomba utushawishi ubovu wa barabara zetu kisayansi.
Ubovu wa barabara zetu ni ukweli ulio bayana usiohitaji sayansi ya rocket kukushawishi.Barabara nyingi tu zinabomoka au zinatengeneza matuta mara tu baada ya kukabidhiwa,Mfano: Barabara ya Mwenge Tegeta,ina matuta tayari na imefunguliwa mwaka jana tu.Barabara ya kilwa mpaka leo haikamiliki,Barabara ya Morogoro kipande cha kimara-kibaha.Sekenke pale mlimani.Eneo la mlimani kukaribia daraja la Wami.Mifano iko mingi tu.Wewe ndio ungetuwekea hizo specifications wanazotumia ili tujihakikishie kama ziko sahihi.
 
Hyo ni issue inayohitaji kufanyiwa research kabisa ili kugundua tatizo na cyo kwa cheap reasoning namna.
 
mkuu una uhakika thickness ya lami,base na sub-base iliyodesigniwa nakujengwa haiwezi kuhimili mzigo(CESAL) na kama umefanya utafiti tatizo ni design au construction?? Je unajua width ya barabara inayotakiwa?? Je unajua quality ya material inayohitajika kwenye construction?au tatizo ni kutosimamia sheria mfano Load limits?? Naomba utushawishi ubovu wa barabara zetu kisayansi.

Hapa kuna porojo zaidi kuliko scientific reasoning and proof. Niliwahi kuongea na wataalam wa mambo ya barabara pamoja na mambo ya usafirishaji kwa ujumla wakaniambia kwamba katika dunia nzima ili barabara ziweze ku perform lazima ziwe supported na reli.

Sasa hapa kwetu wakasema hakuna reli na over 90% ya mizigo inapita kwenye barabara na hivyo hata kama barabara ilikuwa designed kuishi miaka 20 basi kwa sababu ya malori itapata wanachoita pre mature failure. Pia wakaenda mbele kidogo na kusema kwa Tanzania sheria inaruhusu gari kubeba tani 56. Wakati nchi zingine kama Norway wanaruhusiws kubeba kama 36% au 40%.

Tuangalie haya mambo kisayansi zaidi badala ya kinajimu.
 
umesomeka mkuu,nahisi hata mleta mada atakuwa amekuelewa japo ni mtu wa story cyo Engineer
 
watanzania huwa wanapenda hata kukosoa vitu ambavyo hawavielewi, Issue unayozungumzia mleta mada ni more scientific na inahitaji proof

Sababu ya waziri kulalamika na kususia baadhi ya barabara inaonesha kua hizo specifications unazozitaji azifuatwi wala kuzimeet, kua muwazi WUORA.
 
Wewe unayezijua hizo specifications ndio ufunguke sasa katika uzi huu ili ueleweke.Hakuna unafiki kabisa ila hatutakiwi kuridhika na kidogo wakati tuna uwezo wa kupata kikubwa zaidi.

Sio yeye afunguke, wewe umeleta mada ukidai barabara zetu ni mbovu na zipo chini ya kiwango. Tueleze, kwa vigezo gani?
 
Ni unafiki kusema barabara zimejengwa chini ya viwango wakati haujui specifications zake.Brbr nyingi zimejengwa kulingana na fedha zinazokuwepo.Nchi zote duniani zinaendeshwa kwa kodi, je unalipa kodi upande wako?

Siku hizi kila mtanzania ni mwanasiasa mkuu...
 
Ubovu wa barabara zetu ni ukweli ulio bayana usiohitaji sayansi ya rocket kukushawishi.Barabara nyingi tu zinabomoka au zinatengeneza matuta mara tu baada ya kukabidhiwa,Mfano: Barabara ya Mwenge Tegeta,ina matuta tayari na imefunguliwa mwaka jana tu.Barabara ya kilwa mpaka leo haikamiliki,Barabara ya Morogoro kipande cha kimara-kibaha.Sekenke pale mlimani.Eneo la mlimani kukaribia daraja la Wami.Mifano iko mingi tu.Wewe ndio ungetuwekea hizo specifications wanazotumia ili tujihakikishie kama ziko sahihi.

Kumbuka hata malori yanayozidisha uzito yanaharibu barabara! Yeah, huhitaji rocket science lakini suala la ubora wa barabara ni very technical, huwezi kujadili kwa cheap arguments kama hizi..
 
Sasa sema uliyaona hayo kabla ya Kikwete? unajuwa ni nini hicho?

[/SIZE]
DSC03097.jpg
[/B][/B][/B]

Hapa panazungumziwa barabara wewe unahamia kwenye afya we kweli ni Abunuasi[/QUOTE]

Halafu anatubandikia picha ya kuchorwa
 
Huwezi jenga barabara sawa na Ulaya wakati huna hela kama Ulaya

Barabara Ni chini ya kiwango kama tu tungejua Ni shingapi inatolewa kwa ajiri ya ujenzi wa hizo barabara, kama hela inayotolewa Ni finyu na ndio uwezo wa nchi iweje mtake barabara kama za Ulaya!!

Nchi haziendelei overnight inachukua muda sio kubeza kila kitu kwa kufananisha na Ulaya wakati hamna uwezo
 
Jamani eeh, hizi nchi zetu za 5th world hakuna barabara za lami, barabara ziko first world. Sisi tunajenga njia za msimu tu.

barabara usiyoweza kwenda 250km/h bila kuacha njia au kupasua tairi huwezi kuiita barabara.., na monaco formula 1 wanakoendeshea magari yao mtaani wakienda hadi 300km/h tuziitaje?

ukitaka kujua kiwango cha barabara kinacvyotakiwa kuwa, omba uendeshe kiugonjwa cha moyo chako kwenye runway hapo JNIA, then ndio utaelewa kwa wenzetu lami zikoje..,

wakati sisi tuna mikeka, yenye marinda marinda, wenzetu wana makapeti yaliyonyooka.
 
Back
Top Bottom