Barabara za NACHINGWEA - NANGANGA na RUANGWA NANGANGA zitakumbukwa lini?

Asad

Member
Jan 22, 2014
66
21
Nimejaribu kufuatilia kama kuna mipango yoyote ya ujenzi wa barabara za kutoka NACHINGWEA -NANGANGA (Km. 45) na RUANGWA - NANGANGA (Km. 60) kwa kiwango cha rami maana barabara hizi zimekuwa kero na ucheleweshaji wa maendeleo ya watu wa maeneo hayo bila kusahau barabara ya NANGURUKURU - LIWALE ambayo ni km. 173 tu lakini sioni dalili za ujenzi wa barabara hizo. Labda kama zipo kwenye bajeti ya mwaka huu, Tunaomba katika hizo katakata za Sherehe na sisi tukumbukwe.
 
Liwale ndio imetengwa nilienda huko barabara mbovu ingawa kamji kazuri kama barabara zitajengwa basi kasi ya maendeleo itakuwa kama masasi
 
Back
Top Bottom