barabara za mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Barabara za mwendokasi zitungiwe sheria yake

    Usafiri wa mwendokasi kama hautatungiwa sheria zake itakuwa kazi bure. Hali ilivyo sasa ni vuluvulu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu: Njia ya private cars ni nyembanba sana

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  5. Liz rajabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata fomu za maombi ya kazi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi

    Habari wanajamii forum,naomba kwa anaefahamu jinsi ya kupata fomu za kuomba kazi katika ujenzi wa hizi barabara za mwendokasi,anaefahamu naomba anielekeze wapi nazipata na utaratibu upoje,vitu gani vinahitajika na mengineyo,asanteni sana.
  6. kaputula

    JamiiForums Tanzania Kandarasi za Mwendokasi Dar Es Salaam motisha ni kupeana ulaji na rushwa na sio kutatua tatizo la usafiri

    Ukiangalia mradi wa ujenzi wa barabara za mwendo kasi kwa makini utagundua wahusika wakuu kufanya maamuzi kishawishi kwao kikuu sio lengo la kutatua tatizo la usafiri jijini ila tatizo la usafiri jijini ni fursa tu kwao kutoa kandarasi za ujenzi ambapo kuna maslahi kwao binafsi ya kupata rushwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wakandarasi barabara za mwendo kasi hawajalipwa lakini wameombwa kujifanya kama kazi inaendelea ili watu wasikasirike kuelekea uchaguzi!

    Habari iliyotoka jikoni ni kwamba serikali imeishiwa fedha za kuwalipa wakandarasi wanaojenga barabara za mwendokasi. Na walipotishia kuacha kazi hadi watakapolipwa waliombwa wasifanye hivyo na wajifanye kama kazi inaendelea ili kutuliza hasira za wananchi kuelekea uchaguzi, hasira ambazo...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kampuni za ujenzi barabara za mwendokasi zaomba kuongezewa muda wa kukamilisha mradi huo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Nne (BRT4), madaraja pamoja na barabara nyingine...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi). Video: Habari Digital
  10. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

    Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
  11. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kwenye barabara za mwendokasi, ifungwe mitambo ya kuzalisha umeme (windpower)

    Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita.. NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uvamizi wa magari binafsi kwenye barabara za Mwendo Kasi (BRT): Je, Mamlaka zinabariki matumizi haya?

    Ongezeko la uvamizi wa magari binafsi kwenye barabara za Mwendo Kasi (BRT): Je, Mamlaka zinabariki matumizi haya? Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT) umekuwa suluhisho la kipekee la kupunguza msongamano wa magari mijini na kuboresha huduma za usafiri kwa wakazi...
  13. uran

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

    Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi. Nimeingia kituo cha City Council...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za mwendokasi (BRT) zinatumiwa zaidi na magari ya vigogo wa serikali na gari za ST kuliko mabasi kwa ajili ya wananchi wa kawaida!

    Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa bugudha za barabara za kawaida. Nimeona kwamba barabara za mwekasi zinatumiwa zaidi na magari ya...
Back
Top Bottom