Nyanza road wamepewa kandarasi ya ujenzi wa barabara Usagara Kisesa kwa miezi 15, wataweza
Tatizo ni huo muda mie nadhani hivyo
Tatizo ni huo muda mie nadhani hivyo
Nyanza hawana lolote aisee,wamelipua barabara ya nyasaka alivyoenda magufuli kapewa mil50 kawa mpole!!!!
Mkuu, hii itakuwa mkombozi wa uharakishaji maendeleo kwa jiji letu la Mwanza.
Vipi viwanja havipatikani pembezoni mwa hiyo barabara kwa minajili ya biashara?
Kuna barabara mhimu sana japo cjui serikali huwa inampango gani yakutoka kisesa mpaka sumve ile ni mhmu sana but cjui kama iko kwenye mpango wa kujengwa kwa ssi tunaotoka kanyerere mwakalima gambajiga mpaka kolomije tunajua tabu yake
Mkuu, hii itakuwa mkombozi wa uharakishaji maendeleo kwa jiji letu la Mwanza.
Vipi viwanja havipatikani pembezoni mwa hiyo barabara kwa minajili ya biashara?