Barabara ya Tunduru-Songea ni mbovu sana

Msijali wadau. Mchakato wa kupata wakandarasi kwa ajili ya vipande vyote vitatu vya barabara hii (Namtumbo to Kilimasera; Kilimasera to Matemanga; and Matemanga to Tunduru) unaendelea vizuri.
By January, if everything go well, kazi ya kuitengeneza itaendelea ili kuwaondolea adha watanzania wenzetu

Hizo ahadi ni miaka 52 sasa tangu zilipoanza kutolewa sasa tumechoka, wabunge wetu wote wanaishi Dar. Mtutura, Makani na Kawawa wote wapo Dar wakija huko ni kwa ajili ya mipango yao tu ama nyara au kampeni, pale Tunduru mjini panasikitisha sana hamna hata barabara, ccm tumeichoka sasa tunaomba cdm muongeze nguvu huku watu wamechoka sasa wanataka mabadiliko. Mje kuwaelimisha wananchi tuwabwage hawa mafisadi.
 
mtutula na kawawa ni wazee wa nyara za serikali
 
Back
Top Bottom