Abelsabuni
Member
- Mar 23, 2018
- 15
- 4
Kama kuna mhusika humu naomba alibebe hili. Ni kwamba hii barabara ina kilomita chache sana ambazo sidhani kama zinafika 10 lakini miaka yote ni bora hata ya kijijini na ukizingatia mamia ya magari yanayopita hapa kwa wiki.
Ni barabara kubwa tu ambayo inaunganisha njia kuu za kutokea Salasala, Tegeta, Mwenge, Bagamoyo na hata mkoani. Kwahiyo kumbe inapunguza foleni na kuokoa muda. Ningekuwa Dikteta mimi ningeamuru wananchi wanaoishi na kuwekeza kwenye hii barabara waiweke zege au wahame!
Fikiria nje ya benki pamejaa mimaji na matope. Anyway, wanaaendelea kuweka zege kutokea njiapanda lkn inasemekana wataishia msikiti mdogo, kwaninii?