Barabara ya kifo - World's most dangerous road - Bolivia

Hiyo road imenibidi niende utube kuna.maza anaendesha lori kwenye hiyo road anakuambia haogopi chochote na huko malori yanapishana kama kawa
 
Wakuu wangu hapa kwtu pia ipo. ukienda lushoto kutokea mombo mambo ni hayo hayo. tufanye utalii wa ndani jamani.

Sisi kwetu Lushoto.
Kama unaisemea ile barabara ya Mombo kuelekea Soni....hapa hatuwafikii hata kidogo.
Hii ya Bolivia ni kitu kingine aisee
 
Dr John Pombe Magufuri aliitengeneza vizuri sana sekenke kwa kuchonga bara bara sehemu nyingine. Siku hizi usiambia na mtu kuwa hapa ni mlima wa sekenke, huwezi hata ukajua.
nakubaliana na wewe. nimepita juzi mpaka nafika Shinyanga namuuliza mwenyeji wangu mbona sijapaona Sekenke.
 
Hatari hii.



death%20road%2010.jpg
 
Hawa sio Watu wa kawaida!

Na Baiskeli zao wanacheza karibu na mporomoko, halafu hata wasi hawana.



death%20road%2007.jpg
 
Kwa mujibu wa takwimu za 2008 watu 300 kwa mwaka hupoteza maisha kutokana na ajali katika eneo hilo
 
Hii kitu imenifanya nimekumbuka routes za Nimule~Juba in South Sudan.
 
Back
Top Bottom