Barabara ya kifo (Bolivia)… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya kifo (Bolivia)…

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 3, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  (I believe those stone cairns in the picture above mark a spot
  where vehicles have gone off the road.)​

   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Two trucks passing – no room for error!​
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Down below across the valley is the winding Road of Death as seen from the village of Coroico. Unbelievable.
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa macho tu napata wasiwasi.....sipiti hiyo njia n'go, itakuwa njia ya wauza unga
   
 4. Magu

  Magu Senior Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli dunia ina maajabu yake!!!

  Kwa wale waliowahi tembelea mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Same sehemu ya mlimani inaitwa Bombo kuna Hosp ya serikali.

  Kwa kweli mazingira ya huku Bolivia yanafanana sana na Same kwenda Bombo hosp.
   
 5. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Hii inafanana na ile ya kwetu, kutoka Njombe kwenda Ludewa, ni hatari!...
   
 6. kandidus

  kandidus Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapo swala la msingi sio kufurahisha nafisi kwa kuona hizo picha na kulinganisha na mazingira unayoyafahamu. Linalotakiwa hapo ni kutafakari njia zako za maisha na kisha kujipanga kupabmbana na vikwazo unavyokutanan navyo katka maisha na hatimaye kifo chema
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  ngoma ni wakati wa kupishana halafu ndio ule upande wa korongo
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duuuh inatisha kwa kweli ni bara bara ya kifo!
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Khaaa.Hiyo barabara ni hatari.Imagine gari limefeli breki au limeharibika ghafla...
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja ana namna yake ya kufikiri, kupanga na kutenda, usitake
  kulazimisha kila mtu afikiri unavyofikiri, apange unavyopanga au atende unavyotenda...
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dkt... Ujenzi wake ulifanyika kwa namna ipi?
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Hapo natafuta kibaiskeli kangu nitembelee biashara ya kuweka roho yangu rehani haipo aise
   
 13. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Hata kwetu Bumbuli ipo kama hii
   
 14. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nlikua najishkilia kwenye kiti,yan kama nlikua kwenye ndoto vile
   
 15. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapa ukipangiwa safari lazima ushikwe na tumbo la kuhara.
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  haya sasa kwa wale wapenda perdiem!bolivia hiyo na mkutano unafanyika kwenye bonge la hoteli baada ya kumaliza huo mlima
   
 17. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Mimi hata kwa mguu sipiti!! Hii mijamaa ya south america haiko sawa kabisa! Si akina apocalypto hao! Sasa what for seriously!!
   
 18. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Inatishaaaa kwakweli naamini badala ya kuwa The Power of Love sasa itakuwa The Power of Dearth.
   
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  cha kufurahisha sio ajabu hakuna ajali za kipuuzi puuzi sasa peleka madereva wanaopewa leseni na vehicle wa jeshi linaloua waandishi habari kila siku mtazika.
   
 20. awp

  awp JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Inatisha sana hii barabara, tatizo wakati wa kupishana ingekuwa oneway afadhali
   
Loading...