Barabara ya kifo (Bolivia)…

Barabara ya kifo (Bolivia)…

Kaazi kweliweli. Kwani ni lazima kwenda huko? Hata kwa viboko siendi kama ni per diem wale wenyewe sitaki. Kwa mbali inafanana na barabara ya kwenda Lushoto ukitokea Mombo ingawa ile ya Lushoto haiifikii hii.
 
mnahangaaaiiiika hebu nendeni Upareni kule wanaita VUDEEEE hahahahahah hutarudi na ki-Virtz chako tena
 
kabisaaaaaaa......

wote tutakufa sawa lakini hiki cha kukiona hivi unakifuata mwenyewe,, hell no,
naungana na ww mie na kibaiskeli changu.....lol
Hapo natafuta kibaiskeli kangu nitembelee biashara ya kuweka roho yangu rehani haipo aise
 

death%20road%2004.jpg

death%20road%2003.jpg

death%20road%2002.jpg

death%20road%2007.jpg

death%20road%2005.jpg

death%20road%2006.jpg

death%20road%2008.jpg

death%20road%2010.jpg

death%20road%2009.jpg

(I believe those stone cairns in the picture above mark a spot
where vehicles have gone off the road.)​

Sisi watu wa Dindimo Same Mashariki jimbo la Mheshimiwa Kilango umetukumbusha mbali sana.
 
Back
Top Bottom